Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Dinner
 

Attachments

  • IMG_20240212_001847_912.jpg
    IMG_20240212_001847_912.jpg
    414.5 KB · Views: 6
hiyo bamia umeipikaje? yaani uliipitisha kwenye wese tu au vipi
maana sioni hata rangi ya nyanya.

hebu nipe maujanja namna ya kuitoa dizaini hiyo
Unaichemsha tu na chumvi kidogo unaweza kamulia limao kidogo sekunde 35 au 40 mi napenda ziwe mbichi mbichi sipendi ziive ziwe laini
 
Back
Top Bottom