Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 653
- 3,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sambusa zimenona hizo, [emoji39][emoji39][emoji39]
Mwenyejii unashibaa kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee dyadyaa hii mbege?[emoji39][emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji172]
Ugali mdogo, mboga nyingi. Utashiba kwelii?
Mwenyejii huu utani sasa, lol
Hapana Mdogo wangu...Wee dyadyaa hii mbege?
Hapanaa!! Imekaa km mbege ndo nlijua hivo.Hapana Mdogo wangu...
Kinaitwa KIBURU....Unakijua?[emoji39]
Hamna...Hapanaa!! Imekaa km mbege ndo nlijua hivo.
Inaonekana ni tamu, maana imekua nzito haswaa.Hamna...
Ni chakula kinapikwa kwa kuchanganya Ndizi na Maharage then kinapondwa hadi kinakuwa hivyo...
Ni kitamu mno..hakuna mfano...Inaonekana ni tamu, maana imekua nzito haswaa.
Panaitwa wraps 😂😂Uzunguni city park?
The ribs?
Ili maharage yalainike, ndo maana wanaweka magadi.Ni kitamu mno..hakuna mfano...
Huwa wanaweka na yale magadi yana rangi kama kaawia hivi...
Uwueeeeh!!!![emoji39]
Nazionaga tu YouTube kwa wazungu kumbe bongo zipo😆T bon
Viazi umekata mapande makubwa, ungekata vidogo vidogo.
Hujaona star tv kuna wahindi wanauza dawa za vitambi😆