Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

happiness_.mbilinyi-20241029-0001.jpg
 
Nataka nijipikilishehizi chapati za ndizi mzuzu na rosti ya kitimoto...😋😋😋

Stay tuned, wacha nivute nguvu...

Mwanamke jiko, ukilivalia kaboka halikutupi...😜.

 
Basi bwanaa....

Habari za akajasembamba zinafuata....

20241031_201155.jpg


20241031_201202.jpg


Rosti limekubali...😋😋😋

Shughuli iko mtaa wa pili hapo eeheeee....

Hawakukosea waliosema iga ufe khaaa....

Hadi sturesi zikanipanda kisa msosi....🥲🥲

Ila nikakaza roho kula lazima ebooh 😛😛

20241031_185944.jpg

Hizo ndo zilikuwa malimbuko, yaani matoleo ya kwanza ya chapati za ndizi mzuzu eehehehehe jamanii....

Kujitia Kiranga tuu shughuli sii yangu hii khaa...!!

Sikukata tamaa, nikaongeza na zangu, nikapata chapati mfanano...

20241031_201211.jpg

Hii ilikuwa chapati ya mwisho kupika, nilichanganya na unga wa ugali ili iweze kushikana kama chapati...😋😋😋


20241031_201229.jpg



20241031_201236.jpg



Hizi nilichanganya na ngano ndo nikaweza unda hiyo chapati japo zimebabuka na moto ila akuuu, ni taamuuu...😋😋😋
 
20241031_201830.jpg


20241031_201838.jpg


Hapo tayari kulumangia, msosi wa kupika mwenyewe mtamu aiseeh sema tuu apetaiza ya kupika kila siku nehi...😛😛😛

20241031_201850.jpg


Shurbati ya beetroot carrots na apple...😋😋😋


20241031_201902.jpg

Niliongeza mara mbili ndo nikasema baassi tosha kwa leo.

20241031_203352.jpg


Shiba kitumbo ndiii.....

Sasa wacha nikalime maana si kwa kushiba huku 😊😊😊.
 
Habari, naomba unitoe ushamba, hiyo picha ya kwanza hiyo kama nyama hua ni nyama mbichi? hua naona sana kwenye pictures, ni nyama ya nini na je ni mbichi kama inavyoonekana?
Hapana si mbichi hapo nimeshaikaanga

Ni bacon, ila hii ilikuwa bacon ya turkey (nafikiri ni bata mzinga).

Bacon 🥓🥓 mara nyingi inakuwaga ya kitimoto ila hata za beef pia zipo.


View: https://youtube.com/shorts/VCykwtZLxSI?si=O4bRPjPY8iKg-50K

Elimu haina mwisho...
 
Back
Top Bottom