Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kwenye kikombe ni nini
Hiyo kwenye kikombe ni nini
Hapana si mbichi hapo nimeshaikaangaHabari, naomba unitoe ushamba, hiyo picha ya kwanza hiyo kama nyama hua ni nyama mbichi? hua naona sana kwenye pictures, ni nyama ya nini na je ni mbichi kama inavyoonekana?
Chakula cha namna hii, sijui wali ama ugali unatoweza kwenye vipande vya nyanya mbichi isiyo kachumbari, unajisikiaje wakati ukitafuna?