Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20241205_202800.jpg


Tumbo halina shukurani....

Potato wedges, mayo and salad.

It wasn't yummy as I expected 😕 ila nilimaliza vyote 🙄.
 
Aahahahahaa sio matani kweli tena,
Ngoja siku ntanunua bamia nizipike nipate taswira ya kibamia mdomoni....😅😅😅.

Wacha nirejee kwenye kutupia madikodiko niliyotupia tumboni...
Oya nipikie mandi ya bata mzinga nakuja kula baadae hapo na juice ya embe baridiii
 
Oya nipikie mandi ya bata mzinga nakuja kula baadae hapo na juice ya embe baridiii

Wee nawe, Mnyamweziii mie najua kuliangusha pilau, Mandi, biriani nehiii...

Hapo labda nitafute wapi linapikwa nikuletee 😅.
 
Fanya hivyo basi

Imeisha hiyoo, ntamtuma kiredio akuletee Manda ya Bata ila atakupa kwa kufanya challenge umtaje aliyekuagizia.... 😜.

Nimekumbuka hizi challenge za mitandaoni, kuna dada kapangiwa nyumba ndani fully furnished kuulizwa mtaje Bae wako kataja jina la anaembashia....!! Bar kupigiwa simu anaulizwa jina lako jingine ni Gerald jamaa akasema fungeni hiyo nyumba na hapo asikute mtu...😅😅😅.
Mwingine kanunuliwa Rav 4 mpya kataja mabasha 3 na wote hao hakuna hata mmoja ambaye ndo kanunua gari...😁😁😁.
Ukiangalia hizo challenge inachekesha ila inahuzunisha....!

Jiandae kupokea Manda ya Bata 😋 itasindikizwa na mzinga wa Jack Daniel na John Walker 😉.
 
Back
Top Bottom