Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

lvnch4breakfast-20241220-0001.jpg
 
Maji ya kunawa yako wapi?😄😅😅 mswazi atapiga menu na akaacha setting km ilivyo

Aahahahahaa ila asikwambie mtu, kula mkono unaupata utamu wa chakula moja kwa moja yaani nyama kwa nyama, shurti vidole viguse mdomo au ulimi 😜.

Akili yangu hiwa haiwezagi kutofautisha utamu wa chakula na sex...

Pata picha mkitiana kavukavu yaani nyama kwa nyama na mnapotiana kwa kutumia mpira aka ndomu....

Ladha ndo mpango mzima...😊

Basi tuu ustaarabu wa watu weupe, ila ule usemi wa utamu mpaka kisogoni ni kula msosi kwa mkono, shurti uufinye halafu unalisokomezea tonge mdomoni hapo mate yamekaa tayaritayari kupokea mzigo kurindima nao hapo mdomoni kisha kuuteremsha tumboni bila bugudha...

Muulize Baltazar ile ya kupaka mate, mate nayo yana kazi yake kwenye umeng'enyaji...

Khaaa!!! Mnisamehe bure nimejisahau kama niko uzi wa vyakula, watoto mzibe pua msisikie na kusoma hekaya za Bibi.
 
Aisee, huu uchambuzi kitu kimetuna ghafla kama gia ya leyland.
Tukule tukishiba oralsex😘
 
Mbona hizo bacon strips kama zinagegedana🤣🤣🤣🤣

Aahahahahaa mzab weeweee mbinguni huendi 🤣🤣🤣🤣🤣

Ila kweli mpishi atakuwa alikuwa kwenye heat aahahahahahaaa looh.

Ama alikuwa analeta ujumbe kwa mlaji kuwa ukimaliza kula kuna kazi inafuata...😁😁.

Merry Christmas MzabKibamia 😋😅😅😅.
 
Wee mie ninwa motoni moja kwa moja.
Aisee mpishi kweli alikuwa anatuma meseji sasa sijui mlaji alielewa
 
Back
Top Bottom