Uzi wa wenye simu za iPhone

Uzi wa wenye simu za iPhone

Habari wajanja wa mujini,
Kama una cm ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.Please kama una cm yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine cm za kariakoo pumzikeni kwanza
Kwani iPhone haziuzwi Kariakoo ?
 
Kwanza Iphone ni simu za watu wachache wenye akili timamu.
Kwa mimi hizi device za Iphone zina space za uhakika kama ni GB16 ni 16 kweli sio kama simu za kariakoo,ukiachana na wepesi pia zina program nzuri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kama unatumia app hizo signature unaweza ukaedit tu au ukadelete kabisa, kuna watu wanatumia iphone ila comments zao hazina hiyo signature sababu wamedelete na kuna watu hawana hata hizo iphone ila wameedit tu kwenye signature.
Yeye mwenyewe anatumia infinix.
iPhone huwa inajieleza kama signature.

Sent from my iPhone using jamiiForums
 
Back
Top Bottom