Uzi wa wenye simu za iPhone

We nae,kuna hadi iPhone za 400K siku hizi...ni wewe tu na ushamba wako

Mie ni team samsung all the way

Kinachoniudhi kwenye samsung unanunua gharama leo baada ya miezi 3 inakua imeshuka bei vibaya atleast Iphone kidogo zinakua hazijashuka sana.
 
Nyuzi za leo za kibaguzi
1.matajiri wamesema hawakai na sisi tunawaonea wivu
2.tunaokaa kwa shemeji
3.hii nayo watumiaji wa iPhone wanatutenga sisi wenye Tecno wereva!
 
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.

Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
Inafaa sana kurekodia video za Ngono na hata video za ngono zinazotred nchini walitumia Aina hiyo ya simu. Tunasubiri video yako. Tupe kitu mkuu tuone Msambwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasumbua sana

Sent using Galaxy S9 using Jamii Forum mobile app
 
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.

Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
Nawewe unaon

Nawewe, unaona una miliki simu ya maana, sisi kwetu iPhone ni sawa na Motorola tu, wenzako tunacheza na kitu HUAWEI P40 PRO
 
Kwa hiyo Nokia amenyanyapaliwa rasmi sio?
 
iphone itabaki kuwa juu polen sana na vijitecno,vi infinix na vi itel remember brothers cheap is always expensive,mtaelewa badae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…