Uzi wa wenye simu za iPhone

wapiga perepeche nyingi humu ndani ni iphone 4,5,6 na viseven.. kama ni Camera simu kali ni Google Pixel, Huawei p30, mate 20 cjui 30 etc, smoothness ya software ni One Plus, Display kali na hardware ni Samsung.. Apple ni brand kubwa na walifanya ujanja kukuza brand yao since 2007

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa amekuta nacheza dream soccer, akalipenda

Nikamwambia download

Alivoanza ikamletea Tsh 36,000/=

Akawa mpole, ye ni kupokea simu na kupiga hata kufyonza nyimbo hawezi[emoji23]

Hizi simu kama pesa unayo flesh ila kama hauna pesa ya mawazo kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hao ndio sielewei, bongo tufanya kitu kwaajili ya kuplease mtu mwingine uonekane una hela and stuff, mtu ana iphone ten af hana hata itunes, nyimbo halipii anafanya kushift kwa pc tu, mtu apps za kulipia hana unakuta ana kiandroid chake cha pemben, wazungu wana brand loyalty unakuta pc ni imac au macbook, ana apple watch, ipods, ipad, yani kila kitu ni apple sa sisi pc Toshiba, simu iphone, earphone za kkoo, chaji ya mwenge, Tv star ex [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23]

Watu wanasema ni ushamba, ila wengine wanasema hapana tusiite ushamba tuseme ni ulimbukeni angalu inapunguza ukali.

Mwezi Feb hapa kuna dogo kaagiza iphone kutoka nje,

Cha ajabu wiki iliyopita kauza,

Nikamhoji nn tatizo,? Akanza kulialia ooh siko huru app nyingi za kulipia, mara narudi tu kwenye samsung nipate vitu vya kadanseh,,

[emoji23][emoji3] nikamwambia agiza nyingine,, akabaki kucheka tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huawei zimezuiwa kufanya biashara na kampuni yoyote ya marekani
Huawei zote mpya zinazotoka sasahivi hazina google service ikiwemo na hiyo android mkuu kafatilie tusimalize wino hapa

Pia kwenye swala la kutumia angalia majibu yangu na jamaa niliyemjibu utanielewa kwnn nimemjibu vile huawei hipo china na korea uko ndo wameshika soko tena sio kivile maana ushindani sasahivi ni mkubwa lakini iphone ndo analead supermarket features atayoweka kwenye cm yake lzm itrend na itafatwa na kila kampuni


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ngoja nikupe mfano uelewe nilichomaanisha

Katafute mtu mwenye tecno k7 ya mwaka jana hata hiwe ya mwaka huu fresh
Then mtafute mtu mwenye iphone 6s ya 2015
Then download dream leagu soccer la 2020

Ukilipata kwenye tecno k7 (tafuta ata tecno cm) kuna mwekundu mcmbazi unakusubiri

Mfano mwingine

Kadownload hilo game DreamLeague soccer kwenye samsung 10 au 10s(models za juu cjazichezea) li play uone linavyoganda ganda afu nenda kaliplay kwenye iphone ya 2015 tunaongelea cm ya 2015 ina play magem smooth kama imetoka mwezi wa kwanza mwaka huu mkuu kama unabisha tusipoteze wino nenda kafanye uchunguzi huwo utakuja kunipa majibu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjanja yoyote anaejua kucheza na phone kamwe hawezi kutumia iPhone
Unakuja na uzi kusifia simu za ma slayqueen wanazotumia kujiselfii na kubinua matako hakuna app yoyote ya muhimu ambayo inazid android users pole sana kijana uku tuna kitu inaitwa apk tunaparua kila aina ya app tuna app za Ku stream na download video ambazo iPhone sheep mtabak kuzisikia tu
 
Sasa Tekno ni simu?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka samsung hapoo tena hizi A20 sijui zenye RAM 3GB uoneee kama kuna kustuck hapooo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Tekno ni simu?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka samsung hapoo tena hizi A20 sijui zenye RAM 3GB uoneee kama kuna kustuck hapooo..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kajaribu boss hata a20 afu utakuja kuniambia

Ukubwa wa ram co suruhisho
Kinachomata ni uwezi wa processor na iphone ndo wanapowapiga bao
Tafuta magem kama pubg nk. Jrb utakuja nipa mrejesho kwenye huu udhi au pm



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iphone 6 ni flagship..kwanini uifanyie comparison na low end device tena ya tecno?..kwanini usifanyie comparison na Samsung ya mwaka huo 2014...iphone 6 vs S6 edge ndipo utoe conclusion.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…