Uzi wa wenye simu za iPhone

πŸ˜…πŸ˜…
 
Iphone ni iphone tuu wakuu, Samsung inatoka leo bei ni million na nusu baada ya mwezi ata kwa laki saba unachukua si ungese uo


iPhone 6s plus
 
Ndugu zangu mboni mabishano tu hatupeani maujanja yenyewe hembu nyi watumia kihifazi laini mutuache kwanza tupeane maujanja jamani Ehee kuweni wapole kidogo hiki ni kipindi cha mpito Tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo wewe kutumia iPhone ni kitu ambacho unajivunia? Nafikiri labda useme iPhone imekua na taste nzuri kwako na watu ambao unafanana nao, kila mtu ana chaguo lake kwenye utumiaji wa vifaa vya electronic, na ni ushamba kujisifia kitu kidogo kama hicho, ila labda kwako ni kikubwa sijui?.
Mambo ya iPhone haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mbona povu kwa sana mimi nimesema uzi wa wenye iPhone tu sasa wewe humu ulikuwa ni kusoma na kupita au kuungalia uzi tuu maana huna iPhone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…