Uzi wa wenye simu za iPhone

Uzi wa wenye simu za iPhone

[emoji23]af unakuta una iphone 5 ya laki na nusu, simu ni taste ya mtu.. mtu nina Samsung au Google pixel ya million moja af wewe mwenye iphone 6 ya 250,000 unataka jikompea naye... nna iphone 6 mbili geto ata sizitumii... [emoji23]iphone ni kwanzia iphone 8 plus, iphone Ten na eleven... hauna hizo shut up hizo ni tecno zilizochangamka

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Iphone ni iphone tuu wakuu, Samsung inatoka leo bei ni million na nusu baada ya mwezi ata kwa laki saba unachukua si ungese uo

iPhone 6s plus
 
Ndugu zangu mboni mabishano tu hatupeani maujanja yenyewe hembu nyi watumia kihifazi laini mutuache kwanza tupeane maujanja jamani Ehee kuweni wapole kidogo hiki ni kipindi cha mpito Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo wewe kutumia iPhone ni kitu ambacho unajivunia? Nafikiri labda useme iPhone imekua na taste nzuri kwako na watu ambao unafanana nao, kila mtu ana chaguo lake kwenye utumiaji wa vifaa vya electronic, na ni ushamba kujisifia kitu kidogo kama hicho, ila labda kwako ni kikubwa sijui?.
Mambo ya iPhone haya

Jamaa mbona povu kwa sana mimi nimesema uzi wa wenye iPhone tu sasa wewe humu ulikuwa ni kusoma na kupita au kuungalia uzi tuu maana huna iPhone
 
Back
Top Bottom