JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wenyewe waliozizoea wanakuambia hizo simu nyingine ni takataka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe waliozizoea wanakuambia hizo simu nyingine ni takataka.
mkuu hii ni tabia ya kilimbukeni.Ki ukweli kuna vitu katika maisha jitahidi uvifanye hata mara moja inatwa once in lifetime kama kutumia iPhone maana utakuwa mtu wa hovyo hovyo kama hujatumia iPhone ya aina yoyote katika maisha yako hata mara moja.
Kweli hili ni EPO la kibabe
Dah!......rafiki 😀
😁😁😁 hii ni hiphone sio iphone
HahaMnasumbua sana
Sent using Galaxy S9 using Jamii Forum mobile app
Iv signature si unajiwekea tu unavyotaka au ni automatic?Haha
#signature
UnajiwekeaIv signature si unajiwekea tu unavyotaka au ni automatic?
Me nlikua najua ni automaticUnajiwekea
Pole sanaUmenifanya nicheke sana maana hiyo tecno unayotumia hata screen protector imechubuka mbaya ndo unafanisha 6s kweli
Ulicho kariri humu kila mtu ni mtumiaji wa tecnoUmenifanya nicheke sana maana hiyo tecno unayotumia hata screen protector imechubuka mbaya ndo unafanisha 6s kweli
Weka na wewe basiMe nlikua najua ni automatic
Since we are all showing off our phones [emoji23]Haha
#signature
Weka na wewe basi
Sent From Galaxy S9
Kuna watu wana iPhone 4 humu loooooool