Uzi wa wenye simu za iPhone

Uzi wa wenye simu za iPhone

Ushamba hautatuisha [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hii hali dah bado sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi siwezi tumia,out dated phone mkuu,huu ni ulimwengu wa HUAWEI simu zenye camera, kali. Saivi simu ni camera, iPhone ndio zinaingia bongo ndio maana ushamba mwingi lkn kwa, wenzetu iPhone hazitumiki kivileeee
Hebu ngoja ncheke kwanza[emoji23][emoji23] unasema mbele wanatumia sana huwawei? Hivi unaakili wewe? Unachokiongea unakijua au miemko? Fatilia muvi za kizungu ndo utajua cm gani zinatumika sana cheki wasanii wa mbele wengi wanatumia cm gani, uko Australia unaambiaa mashuleni na mitaani ukionekana una cm ya android unaonekana maskini
Afu iphone inakuwa updated miaka 5. Wacha kujidanganya
Yani iphone ndo king chochote anachofanya cm nyingine lazima waigie
Yani yeye ndo analead maket huyo huawei uingereza sahivi kila kona wanazipiga vita hawazitaki wachache sana ndo wanatumia afu software ya huawei ni copy ya ios afu pia ni mbaya nenda google kaulize upate majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza uelewe Mm KWA SASA sio mtumiani wa Huawei wala Iphone japo zote nishawahi kutumia kwa vipnd tofauti..... hivyo sipo upande wowote kati ya hizi brand mbili KWA SASA, natumia samsung ambayo kwa sasa haihusiani na hii quote.

Turudi kwenye mada.

Mzee baba ushasema MOVIE tena za KIZUNGU...
Je na yeye akisema MOVIE za KICHINA kwa hio huawei?
Mwingne akaja akasema MOVIE za kikorea kwa Samsung?...

Kila yule lazima atangaze chake au kumsaport mwenzake....

Tuzungumzie hili kwenye maisha ya kawaida....
Maana muvie ni maigizo pia zinatumika kutangaza bidhaa.... movie za mbele kila unachokiona kinatumika basi vingi ni for purpose, specifically bussines purpose.

Binafsi sibishi ya kua iphone ni moja ya brand kubwa sana ya simu, hilo halina ubishi linapelekewa na ubora wa simu zao, kuanzia hardware mpk software..
Apple-iphones ndio simu inaongoza kwa kuingiza mapato makubwa kuliko brand ngingne yyt ya simu duniani....

Nakubali kua iphones ndio brand ya simu inayotoa update kwa simu zao kwa mda mrefu...miaka 5 mda mwingne mpk 6.

Sasa turudi hapa....
Iphone inalalamikiwa na watumiaji hasa kwenye soko la ulaya ya kua...ikitoa update KUBWA mpya, hio update inaifanya simu ya zamani iwe slow KIDOGO kwa makusudi ili mteja ashawishike kununua new model...
Waweza usione utofaut kirahisi ila technically imekua proved hivyo na juzi juzi tuuu wamepigwa faini kwa hilo france.

Iphone inashika nafasi ya 3 kwa mauzo ya simu duniani....
Ikiongozwa na samsung then huawei ambaye anapanda kila mwaka huku samsung na iphone wakiwa wanashuka kimauzo kila mwaka....apple mpk akaamua kufanya discount kwa baadhi ya maeneo.

Hii tuu inaonesha ya kua iphone sio simu inayotumika zaidi duniani LABDA uniambie iphone flani ndio iliuzika sana mwaka flani kuliko MODEL yyt ya simu.
Mfn kwa mwaka jana katika mauzo ya simu zote iphone XR ndio aliongoza.... kwaio hapa anazungumzia model ya simu sio brand, ukija kwenye brand utazungumzia samsung then huawei....

Binafsi ukiniuliza kwa nn iphone baongozi kwa mauzo ya simu zote kwa ujumla... nitakujib ya kua moja ya sbb ni kwamba Hatoi model/matoleo mengi ya simu kama mfn samsung mwenye S-series, Note-series, A-series, J-series(imethitishwa) C-series(imethitishwa)n.k n.k kulingana na hali ya mteja... kuanzia wa juu, wa hali ya kati na wa hali ya chini. Iphone yy anatoa high end tu.. utapambana mwenyewe huko, ndio maana nchi zetu hizi wengi wanatumia za nyuma, refurb au mtumba sbb ya bei.

Huawei hazijazuiwa UK tena juzi tuu hapa wameofautiana na US kwa kitendo cha serikali ua UK kuingia ubia na Huawei wa kuwatenezea miundombinu ya 5G na kuruhusu Huawei ziendelee kuuzwa UK..
Ila sikatai ya kua iphone ndio brand maarufu zaidi UK

Huawei hatumii software copy ya ihpone...
Huawei anatumia android specifically EMUI kwa kuiongezea mbwe mbwe zake kuleta utofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iphone inarun app gani ambayo android haiwezi??????? Ufalaa huu kawaambie waliokuja mjini janaaa... Iphone ishieni kutuma msg na kupokea calls mambo mengine kama games hata za nyokaa hazichezi
Sure mkuu....alafu hiyo sumsung A50 ina Ram 8 GB ila haifikii mziki wa Iphone 6 yenye Ram 2Gb

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda voice assistant (iphone 4s) na security

Sent from my iPhone using jamiiForums
 
Hebu ngoja ncheke kwanza[emoji23][emoji23] unasema mbele wanatumia sana huwawei? Hivi unaakili wewe? Unachokiongea unakijua au miemko? Fatilia muvi za kizungu ndo utajua cm gani zinatumika sana cheki wasanii wa mbele wengi wanatumia cm gani, uko Australia unaambiaa mashuleni na mitaani ukionekana una cm ya android unaonekana maskini
Afu iphone inakuwa updated miaka 5. Wacha kujidanganya
Yani iphone ndo king chochote anachofanya cm nyingine lazima waigie
Yani yeye ndo analead maket huyo huawei uingereza sahivi kila kona wanazipiga vita hawazitaki wachache sana ndo wanatumia afu software ya huawei ni copy ya ios afu pia ni mbaya nenda google kaulize upate majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba iphone moja.
Hahha hizo simu tunazipenda wengi tatizo bei
 
Hmm! Mzee kuna iphone ten??

Mimi mbona siijui hiyo
[emoji23]af unakuta una iphone 5 ya laki na nusu, simu ni taste ya mtu.. mtu nina Samsung au Google pixel ya million moja af wewe mwenye iphone 6 ya 250,000 unataka jikompea naye... nna iphone 6 mbili geto ata sizitumii... [emoji23]iphone ni kwanzia iphone 8 plus, iphone Ten na eleven... hauna hizo shut up hizo ni tecno zilizochangamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom