Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Lol.😂😂mie tena nisije nimekuja kuwaangalia wamilik wa iphone dada
Ile ya siku ile ndio Itel au? 😎😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Lol.😂😂mie tena nisije nimekuja kuwaangalia wamilik wa iphone dada
Tunaotumia iPhone za kuazima tunakomenti wapi
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ile tecno dada 😉Hahahaaa. Lol.
Ile ya siku ile ndio Itel au? 😎😎😎
Ngoja tumuache maan akija ataanza kuzogoa hapa siunamjuaMtag hebu. Huenda na mie Dadiyo nkadandia humo humo mana nazisikia tu hizi aifoni. 😅😅😅
Kumbe ulishakuja mdogo. ukija uzi wa wale wa simu za Itel unitag. [emoji28][emoji28]
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.
Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
iPhone imeshuka thamani sio kama miaka mitatu iliyopita,, watu siku hizi hawana shobo nazo,, k’koo kibao tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo hiyo itanifaa Mtani. 😀😀Mtani Iphone ni noma, nitakupa yenye macho matatu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipo mtani mambo tu yanabanaHiyo hiyo itanifaa Mtani. 😀😀
Hivi upo kweli? 😎
We jamaa hapa umeongea nini????Sure mkuu....alafu hiyo sumsung A50 ina Ram 8 GB ila haifikii mziki wa Iphone 6 yenye Ram 2Gb
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda kanune uone kama imeshuka
Oooh. Sawa Mtani.Nipo mtani mambo tu yanabana
Hivi iTune store zinafunguliwa ln?
Sent from my iPhone using JamiiForums