Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Taja kitu ambacho uliwahi kuona katika maisha yako na sichakawaida na inawezekana ujawahi kukuiona mahali popote!
 
Mimi niliwahi kuona ndege nyingi sana na nyingine za duara hapo nikawanauliza azigongani angani au hawa marubani wanafanya nini maana zilikuwa nyingi kama kwerekwere sijawahi kuona tena nadhani hiyo ni 1978
 
Saiv utakua
nilipokuwa dogo, ikifika usiku naona kitu kama sungura mkubwa kama mtu ukutan karibu na miguu yangu,haikutokea mara moja au mbili ,na cha ajabu hicho kitu kilikuwa kinamove kama kinacheza

Saiv utakua mchawi😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom