Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Na ramadhani moja hivi wallah sitakaa nikaisahau, zilikua zile ramadhan za mwisho mwisho watu hulala msikitini nikamwambia mama leo naenda lala msikitini nikajibebea daku langu mdogo mdogo baada ya swala ya tarawehe kuisha

Nikampitia mtoto wa bibi yangu tukaongozana kwenda masjid nakumbuka siku hiyo nilikunywa sana juice ikawa naenda haja ndogo vibaya sana, tulipofika msikitini nikamwambia mwenzangu kabla hatujajiweka sawa kulala nisindikize msalani, choo kilikuwepo ndani ya maeneo ya msikiti, tukatoka kuelekea huko

Kabla hatujafika tukakuta paka kati kati ya njia ya kuelekea msalani, nikamwmabia mwenzangu tutapitaje pale tumfukuze paka ndio twende bas tukawa tunamfukuza yule paka lakini hajigusi kabisa hata kusogea hana habari nikamrushia kijiwe ndio kwanza akiangalia kilipomgonga nikamwambia mwenzangu mama yangu alinambia paka hua anafukuzwa mara tatu asipoondoka si paka wa kawaida bas tukamrushia jiwe kwa mara ya mwisho kinyume chake yule paka akatutimua mbio nilizipanda ngaz za kuingia mskitini bila kupenda wenzetu wengine wakatuuliza kuna nn tukawambia kuna paka ametukimbiza hawakutuamini wakatoka wathibitishe tulikua kundi kubwa tu tukamkuta kajisogeza pembeni kidogo napale alipokua mwanzo tukarusha jiwe akatutoa mbio tulikimbia tena kuingia ndan ya msikiti nilichokifanya nikarudi nyumbani nikamwelezea mama bas had leo najiuliza maajabu ya yule paka kutukimbiza
Huyo Paka itakua owner wake alikua pale msikitini, alienda kumsubiri ndio maana akawa hataki kuondoka, kuhusu kutoogopa jiwe ni sababu Paka wanaofugwa hua sio waoga kama Paka wa porini, alipoona hatari inamjia akaamua kuwafukuza na ndio maana mliporudi mkamkuta pale pale.

So relax hakuna mauza uza yoyote.
 
Huyo Paka itakua owner wake alikua pale msikitini, alienda kumsubiri ndio maana akawa hataki kuondoka, kuhusu kutoogopa jiwe ni sababu Paka wanaofugwa hua sio waoga kama Paka wa porini, alipoona hatari inamjia akaamua kuwafukuza na ndio maana mliporudi mkamkuta pale pale.

So relax hakuna mauza uza yoyote.
mimi napenda mno paka ila huyo alinitishia sijawahi kufuga so sjui wanavyokuwa bora umenieleza jambo jipya nimelieka akilini, asante
 
Kuona suruali kubwaaa lile la like jeje kwakweli niliona kitu sio cha kawaida 🤪🤦 na nalog off
 
Sio muda sana hii imetokea,
nimerudi kwenye mihangaiko yangu nishazoea nikifungua tu mlango jirani katoka ananisemesha kisha anaenda zake kufanya mazoezi,
Narudi siku hiyo kimyaa, nikafanya mambo yangu nikataka nijilaze lakini nikasema ngoja nimuangalie yupo au hayupo?

Haishi na mtu zaidi ya mbwa wake mdogo anampenda balaa, nikagonga mara moja nikaingia hadi living room yalaaaa! namkuta uchi juu ya sofa mbwa anamlamba sehemu za siri anatoa milio yote, nilifadhaika nikatoka haraka sana jinsi alivyokua deep hakunisikia hata kidogo.

Baadae sana ananigongea kama nipo ila daah kila nikimuangalia nakosa jibu pia namuhurumia mbwa kumbe anatumikishwa kingono.
Nimecheka hadi baas lol, [emoji23][emoji23][emoji23] ila dea wee nae mgomvi nan alikuambia uingie huku hujakaribishwa?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka hadi baas lol, [emoji23][emoji23][emoji23] ila dea wee nae mgomvi nan alikuambia uingie huku hujakaribishwa?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Lol,
Niliona si jambo la kawaida kutokumuona jirani yangu, nikaona niingie kumjulia hali nikapambana na surprise ya nguvu.
 
Siku moja ktk maisha miaka zaid ya 10 imepita nimekaa zangu mahali nataka kula ugali wagu nimepika mwenyewe mara simu inaita kupokea napewa hbr ya harusi na mdada mmojahv yani yuko kwenye harusi nani anaolewa kuambiwa sikuamini sababu nilijiuliza kwa nn asiniambie na ni mtu wa krb sana na mm hata ningemchangia lazma cha kishangaza zaid nikaanza kuwaza nani anamuoa kimya kimya kias hicho gafla nikamuwaza jamaa mmoja hv nikakaa zangu kimya baada ya siku mbili hv napata hbr aliye muoa ndio yule niliyemuwaza daah nilshtuka sana nikajiuliza tena kwa nn nikimuwaza yule jamaa sababu sijawah muona nae kwamba nikamhisi jamaa mwenyewe sina mazoea nae ni salam tukwisha mpaka leo najiuliza ilikuwaje akanificha na kwa nn nilimuwaza yule jamaa na ikawa kweli sipati jibu nahata sijawah muuliza chochote kuhusu ukimya wake na bado tunawasiliana vzur tu had leo.
 
Back
Top Bottom