Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Abiria kupanda daladala bila nauli, akitozwa nauli anasema atalipa anaposhuka, akishuka anapiga simu kwake aletewe nauli kituoni ili alipie. Hii nimeikuta hukooo kwa kabila Fulani hivi....!
 
Siku ya kwanza Mzee ana mkata kofi Bimkubwa halafu kesho yake wakaamka wanacheka vizuri tu. Nilikuwa naamini nikiamka nitaona wamenuniana!..
[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wetu wa zamani wana siri kubwa xn ya kufanikiwa ktk relation zao....sio kizazi chetu cha .com
 
Ilikuwa miaka ya 90s hivi tukiwa bado vijana wadogo watatu tunapitapita kwenye mishemishe zetu maeneo ya makaburini. Pembeni kidogo ya makaburi hayo kulikuwa na mti(mkwaju) mmoja mkubwa hivi ilikuwa mida ya saa 7 mchana jua kaliii kukiwa kumetuliiaa tulii, hakukuwa na mtu mwingine zaidi yetu.
Wenyewe tunapita hatuna hili wala lile, wakati tunakaribia kuufikia ule mti tulisikia sauti moja ya ajabu sana tena kubwaa kama mtu anayezungumza kwenye mic ikiwa inajirudiarudi ikituuliza "NYINYI WATOTO MNATAFUTA NINI?"
Hakuna hata aliyemgeukia mwenzake kumuuliza kitu, tulitoka nduki ya hatari ndani ya mda mfupi tulikuwa tupo mtaa wa tatu ndio tunaanza kuulizana imekuwaje.
Tangu siku hiyo sijawahi kupita karibu na eneo hilo
 
Sio muda sana hii imetokea,
nimerudi kwenye mihangaiko yangu nishazoea nikifungua tu mlango jirani katoka ananisemesha kisha anaenda zake kufanya mazoezi,
Narudi siku hiyo kimyaa, nikafanya mambo yangu nikataka nijilaze lakini nikasema ngoja nimuangalie yupo au hayupo?

Haishi na mtu zaidi ya mbwa wake mdogo anampenda balaa, nikagonga mara moja nikaingia hadi living room yalaaaa! namkuta uchi juu ya sofa mbwa anamlamba sehemu za siri anatoa milio yote, nilifadhaika nikatoka haraka sana jinsi alivyokua deep hakunisikia hata kidogo.

Baadae sana ananigongea kama nipo ila daah kila nikimuangalia nakosa jibu pia namuhurumia mbwa kumbe anatumikishwa kingono.
Hallo hi kitu inaelekea ndio mtindo yuko mmoja huku nae hajaolewa alipotelewa na ki mbwa kaja mpaka home kuulizia ,
 
Nakumbumbuka kipindi naishi kigoma tulikuwa tunaishi compound za mashirika ya kuhudumia wakimbizi.ilikuw miaka ya 2001 kwa kipindi hicho baadhi ya mashirika yalikuwa yanaondoka.
Nilikuw mlevi na mvuta ganja na masigara kwq kipindi hicho ndo ujana ulikuwa umenibamba!
Ndani ya ile kotaz kuna mti mkubwa sana ambao watu wengi walikuwa wanaishi hapo walikuwa wanaomba ukatwe kila siku sbb ya mauzauza yake!wasomi wenyewe walikubali kwamba ule mti hukuwa wa kawaida!
kuna mlinzi mmoja mzee ni mchawi ndo alikuwa mlinzi hapo miaka yote!
Nisiwachoshe!
Siku hiyo narudi mida saa nane usiku kwanza ikaja kaupepo flan cha marashi nikasimama kuiskiliza vzr maana sio ya nchi hii.
Ilikuwa tayar jenereta imezimwa hapo kotaz hivyo giza la hatari.
Nikaanza kuhis nashikwa mapumbu nikipeleka mkono hakuna kitu!
yaani nikishika pumbu naanza kupapaswa kifuani na kukwaruza na vikucha flan amaizing!
Dude likasimama yaani nimevaa nguo lakin nashikwa uchi km sina nguo vile..
Wee nani sijibiwi ila naskia pumzi ya mtu kbs!
Pombe imeruka hapo!
Asee nilipoona sijibiwi nikaona leo kuna mawili kuffirwa au vingine hapa ni kufunguka tuu
ha ha ha
 
Abiria kupanda daladala bila nauli, akitozwa nauli anasema atalipa anaposhuka, akishuka anapiga simu kwake aletewe nauli kituoni ili alipie. Hii nimeikuta hukooo kwa kabila Fulani hivi....!
Warangi?
 
Sio muda sana hii imetokea,
nimerudi kwenye mihangaiko yangu nishazoea nikifungua tu mlango jirani katoka ananisemesha kisha anaenda zake kufanya mazoezi,
Narudi siku hiyo kimyaa, nikafanya mambo yangu nikataka nijilaze lakini nikasema ngoja nimuangalie yupo au hayupo?

Haishi na mtu zaidi ya mbwa wake mdogo anampenda balaa, nikagonga mara moja nikaingia hadi living room yalaaaa! namkuta uchi juu ya sofa mbwa anamlamba sehemu za siri anatoa milio yote, nilifadhaika nikatoka haraka sana jinsi alivyokua deep hakunisikia hata kidogo.

Baadae sana ananigongea kama nipo ila daah kila nikimuangalia nakosa jibu pia namuhurumia mbwa kumbe anatumikishwa kingono.
Jamaniii, huyo mtiziii kweli?
 
Siku moja nipo Home nimetulia nikaona Moshi ukitoka ardhini nikajiuliza unatoka wapi hakuna hata mahali wamechoma mabiwi au chochote maana ilikuwa katika uwanja wetu na umefagiliwa vizuri hadi leo sikujua ni nini!
 
Alikua ni ke au me
 
Watu wa fiziko jogi watakua na majibu labda
 
Siku moja nipo Home nimetulia nikaona Moshi ukitoka ardhini nikajiuliza unatoka wapi hakuna hata mahali wamechoma mabiwi au chochote maana ilikuwa katika uwanja wetu na umefagiliwa vizuri hadi leo sikujua ni nini!
Volcano ilitaka kulipuka!
 
Back
Top Bottom