Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Sio muda sana hii imetokea,
nimerudi kwenye mihangaiko yangu nishazoea nikifungua tu mlango jirani katoka ananisemesha kisha anaenda zake kufanya mazoezi,
Narudi siku hiyo kimyaa, nikafanya mambo yangu nikataka nijilaze lakini nikasema ngoja nimuangalie yupo au hayupo?

Haishi na mtu zaidi ya mbwa wake mdogo anampenda balaa, nikagonga mara moja nikaingia hadi living room yalaaaa! namkuta uchi juu ya sofa mbwa anamlamba sehemu za siri anatoa milio yote, nilifadhaika nikatoka haraka sana jinsi alivyokua deep hakunisikia hata kidogo.

Baadae sana ananigongea kama nipo ila daah kila nikimuangalia nakosa jibu pia namuhurumia mbwa kumbe anatumikishwa kingono.
Huyo ni Bibi wa kizungu.ulikuwa nchi gani? Na unaongelea vile vimbwa vidogo vina manyoya Kama blanketi
 
20190427084140.jpeg
hiki kifua nimekutana nacho jioni ya jana
 
Nakumbumbuka kipindi naishi kigoma tulikuwa tunaishi compound za mashirika ya kuhudumia wakimbizi.ilikuw miaka ya 2001 kwa kipindi hicho baadhi ya mashirika yalikuwa yanaondoka.
Nilikuw mlevi na mvuta ganja na masigara kwq kipindi hicho ndo ujana ulikuwa umenibamba!
Ndani ya ile kotaz kuna mti mkubwa sana ambao watu wengi walikuwa wanaishi hapo walikuwa wanaomba ukatwe kila siku sbb ya mauzauza yake!wasomi wenyewe walikubali kwamba ule mti hukuwa wa kawaida!
kuna mlinzi mmoja mzee ni mchawi ndo alikuwa mlinzi hapo miaka yote!
Nisiwachoshe!
Siku hiyo narudi mida saa nane usiku kwanza ikaja kaupepo flan cha marashi nikasimama kuiskiliza vzr maana sio ya nchi hii.
Ilikuwa tayar jenereta imezimwa hapo kotaz hivyo giza la hatari.
Nikaanza kuhis nashikwa mapumbu nikipeleka mkono hakuna kitu!
yaani nikishika pumbu naanza kupapaswa kifuani na kukwaruza na vikucha flan amaizing!
Dude likasimama yaani nimevaa nguo lakin nashikwa uchi km sina nguo vile..
Wee nani sijibiwi ila naskia pumzi ya mtu kbs!
Pombe imeruka hapo!
Asee nilipoona sijibiwi nikaona leo kuna mawili kuffirwa au vingine hapa ni kufunguka tuu

Mbona kama hujamalizia hii stori Mkuu
 
Mkuu sijawah kufukuza paka akaniangalia hilo moja halaf ninapenda paka balaa tangu hilo tukio nawaogopa hatakuwasogelea paka anakimbiza kundi la watu can u imagine?? Ah woga ndio akili sometimes
ila we ni muoga kinoma
 
Mimi niliwahi kuona ndege nyingi sana na nyingine za duara hapo nikawanauliza azigongani angani au hawa marubani wanafanya nini maana zilikuwa nyingi kama kwerekwere sijawahi kuona tena nadhani hiyo ni 1978

Mkuu uliona allien?
 
Niliona ndege (eropleni) imesimama angani,
Yaani haimove kabisa kwa dakika kama tano,
Ajabu niliokuwa nao walinipa majibu ya kuchekesha
Mmoja akasema labda ineishiwa mafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwingine akasema itakuwa ni mambo ya kishirikina [emoji23][emoji23][emoji23] ndege na ushirikina wapi na wapi?!

Sijawahi kuona tena tukio kama hilo
 
niliwahi kuona meanaume shoga anafi#wa hadharani maeneo ya gongolamboto ulikuwa usiku wa saa 4 pindi narudi zangu Gheto nilipokuwa nimepanga lakn kila aliyepita pale alistaajabu na kuendelea na mambo yake.
Haukuwa ww kweli?
 
Nilikuwa na x-wife wang kwao alienda kutibiwa maruhani (bibi yake alikuw ni mganga wa kienyeji, kwa iyo tulilala ktk kilinge cha kuagulia wagonjwa/wenye matatizo) sasa kwenye mida ya saa11 alfajiri, nikawa naitaji game nae anazingua.. ikabidi nitumie ku-force aiseee ktk hali isiyokuwa ya kawaida nilisia mtu akisema "shiiiiiiiiiiiii...." ilihali ndani tulikuwa wawili tu, kuanzia hapo nilitoka nje na boxer yng kumfuata bibi mtu, sitosahau cku iyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkeo mgonjwa alafu unaomba gemu..
Utakuwa na matatizo weye..
 
Kuna mdada nilikuwa namuheshimu sana maeneo flani hv siku moja jamaa yake akanisimulia kwamba walienda kutoa mimba kwa mbibi mganga,yani yule dada alisimama juu ya kioo akasema shida yake halaf mbele kuna kibuyu akaambiwa weka sadaka yako kwenye kibuyu yoyote ile gafla akajikuta hana mimba hata nguo hajavua aisee niligopa sana
jina lako linaendana [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipi mkojo haukutoka..!??
Tulikuwa tunaishi kota hapo zamani, nilibakia mimi na mdingi tu home wengine walikuwa wamesafiri kwenda likizo na maza. Basi nikapika wali nikapakua kwenye sinia then nikaenda kumshitua mdingi nikamgongea aje tufinye mpunga, ile narudi kukaa mezani kabla yeye hajatoka ndani nikakuta chakula kimegawanya mafungu manne kwenye sinia.

Maajabu mengine nikiwa barabarani mitaa fulani tabora muda wa mchana jua kali nikamuona binti mzuri sana anakuja mbele yangu, amevaa top tumbo wazi na skin jeans ya blue, nywele ndefu. Alivyozidi kunisogelea nikapatwa na harufu ya kipekee sana nzuri haswaa, alinikazia macho kama ananijua na mimi nikasema huyu simuachi naimbisha hapa hapa hii ni bahati yangu.. mambo ya riziki road haya. Na ukizingatia mbele hakukuwa na mtu mwingine karibu wala nyuma,
Ile anasogea zaidi nikaona macho yenye kung'aa na makali nikasita nikangoja apite then nimuite nijifanye mimi mgeni nimepotea, hivyo nikamsalimia tu, ajabu aliponijibu salamu ile nageuka kumuita sioni mtu na Eneo lile hakukuwa na uchochoro wowote wala ofisi.

Nilitokwa na jasho haijawahi kutokea.
 
niliwahi kuona meanaume shoga anafi#wa hadharani maeneo ya gongolamboto ulikuwa usiku wa saa 4 pindi narudi zangu Gheto nilipokuwa nimepanga lakn kila aliyepita pale alistaajabu na kuendelea na mambo yake.
Duh
 
Huyo ni Bibi wa kizungu.ulikuwa nchi gani? Na unaongelea vile vimbwa vidogo vina manyoya Kama blanketi
Sio bibi ni mdada kwenye mid 20's tena yupo sexy,
yes ni vimbwa vile viduchu mwenyewe anamuita mtoto wake.
 
Back
Top Bottom