Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Ilikua ni mwaka 1999 nikiwa na miaka 17 majira ya saa moja usiku naelekea home . Kwa mbali namuona msichana lakini kila nikimuangalia naona hayuko kawaida. Alikua anajia upande wangu. Nikawa na shauku ya kuzidi kumuangalia. Hamadi kumbe alikua yuko uchi wa mnyama. Wallahi aliponikaribia ikabidi nijibanze ukutani aliponipita ndo nikamuangalia tena nikaona matako tu yamejaa vumbi. Akawa anaendelea tu na safari yake. Mbele tena kuna wanaume wamekaa barazani na wao ikabidi wapigwe na butwaaa. Mpaka leo sijajua alifikwa na masahibu gani yule mwanamke.
 
Nakumbumbuka kipindi naishi kigoma tulikuwa tunaishi compound za mashirika ya kuhudumia wakimbizi.ilikuw miaka ya 2001 kwa kipindi hicho baadhi ya mashirika yalikuwa yanaondoka.
Nilikuw mlevi na mvuta ganja na masigara kwq kipindi hicho ndo ujana ulikuwa umenibamba!
Ndani ya ile kotaz kuna mti mkubwa sana ambao watu wengi walikuwa wanaishi hapo walikuwa wanaomba ukatwe kila siku sbb ya mauzauza yake!wasomi wenyewe walikubali kwamba ule mti hukuwa wa kawaida!
kuna mlinzi mmoja mzee ni mchawi ndo alikuwa mlinzi hapo miaka yote!
Nisiwachoshe!
Siku hiyo narudi mida saa nane usiku kwanza ikaja kaupepo flan cha marashi nikasimama kuiskiliza vzr maana sio ya nchi hii.
Ilikuwa tayar jenereta imezimwa hapo kotaz hivyo giza la hatari.
Nikaanza kuhis nashikwa mapumbu nikipeleka mkono hakuna kitu!
yaani nikishika pumbu naanza kupapaswa kifuani na kukwaruza na vikucha flan amaizing!
Dude likasimama yaani nimevaa nguo lakin nashikwa uchi km sina nguo vile..
Wee nani sijibiwi ila naskia pumzi ya mtu kbs!
Pombe imeruka hapo!
Asee nilipoona sijibiwi nikaona leo kuna mawili kuffirwa au vingine hapa ni kufunguka tuu
 
Malizia

kwahyo babu mlinzi alianza kusaminisha mzigo😂😂😂
 
Sio muda sana hii imetokea,
nimerudi kwenye mihangaiko yangu nishazoea nikifungua tu mlango jirani katoka ananisemesha kisha anaenda zake kufanya mazoezi,
Narudi siku hiyo kimyaa, nikafanya mambo yangu nikataka nijilaze lakini nikasema ngoja nimuangalie yupo au hayupo?

Haishi na mtu zaidi ya mbwa wake mdogo anampenda balaa, nikagonga mara moja nikaingia hadi living room yalaaaa! namkuta uchi juu ya sofa mbwa anamlamba sehemu za siri anatoa milio yote, nilifadhaika nikatoka haraka sana jinsi alivyokua deep hakunisikia hata kidogo.

Baadae sana ananigongea kama nipo ila daah kila nikimuangalia nakosa jibu pia namuhurumia mbwa kumbe anatumikishwa kingono.
 
Mkuu nipeleke nkapge nyeto
 
Niliwahi kukutana na jitu LA ajabu,mchana wa SAA 8 karibu na mti mmoja wa mbuyu.
Sasa lilikuwa kama mwanaume mrefu mnene sana,chini kavaa suruali juu kifua wazi kama anapunga upepo!
Nilisimama KWA dakika kama 5,Mpaka lilipogeuka na kuniona likapotea hapo hapo!
Mpaka leo najiuliza sijui nini!?
 
Sio muda sana hii imetokea,
nimerudi kwenye mihangaiko yangu nishazoea nikifungua tu mlango jirani katoka ananisemesha kisha anaenda zake kufanya mazoezi,
Narudi siku hiyo kimyaa, nikafanya mambo yangu nikataka nijilaze lakini nikasema ngoja nimuangalie yupo au hayupo?

Haishi na mtu zaidi ya mbwa wake mdogo anampenda balaa, nikagonga mara moja nikaingia hadi living room yalaaaa! namkuta uchi juu ya sofa mbwa anamlamba sehemu za siri anatoa milio yote, nilifadhaika nikatoka haraka sana jinsi alivyokua deep hakunisikia hata kidogo.

Baadae sana ananigongea kama nipo ila daah kila nikimuangalia nakosa jibu pia namuhurumia mbwa kumbe anatumikishwa kingono.
Du,ilikua hapahapa bongo bahati mbaya?
 
Kipindi flani wakati nipo mdogo nilitumwa dukani, ilikua ikifika magharibi hua situmwi dukani kabisa sku hiyo baba akanambia nenda nikawa naogopa mana duka lilikua mbali nikaombewa mtoto wa jirani anisindikize sasa kabla hujafika dukani ukimaliza nyumba tulizokua tunaishi karibu nazo kuna kagiza cha ajabu kweli had dukani na hilo giza ndio lilikua linanitishia, tukavuka vizur mbele kuna barabara inakwenda mashine kulikua na gari inakuja iliwasha taa full bas tukasimama tukijua itakuja huku tulipo ghafla pale mbele ya gar kuja kwetu tukamuona dada kashikilia sjui ni gauni sjui sketi anakimbia kuja upande tuliopo tulikimbia sitakaa nikasahau nikarudi nyumbani dukani sikwenda tena mpaka leo najiuliza yule dada ina mana lile gari hakuliona au mwenye gari hakunuona sipatagi majibu
 
Back
Top Bottom