Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Na ramadhani moja hivi wallah sitakaa nikaisahau, zilikua zile ramadhan za mwisho mwisho watu hulala msikitini nikamwambia mama leo naenda lala msikitini nikajibebea daku langu mdogo mdogo baada ya swala ya tarawehe kuisha

Nikampitia mtoto wa bibi yangu tukaongozana kwenda masjid nakumbuka siku hiyo nilikunywa sana juice ikawa naenda haja ndogo vibaya sana, tulipofika msikitini nikamwambia mwenzangu kabla hatujajiweka sawa kulala nisindikize msalani, choo kilikuwepo ndani ya maeneo ya msikiti, tukatoka kuelekea huko

Kabla hatujafika tukakuta paka kati kati ya njia ya kuelekea msalani, nikamwmabia mwenzangu tutapitaje pale tumfukuze paka ndio twende bas tukawa tunamfukuza yule paka lakini hajigusi kabisa hata kusogea hana habari nikamrushia kijiwe ndio kwanza akiangalia kilipomgonga nikamwambia mwenzangu mama yangu alinambia paka hua anafukuzwa mara tatu asipoondoka si paka wa kawaida bas tukamrushia jiwe kwa mara ya mwisho kinyume chake yule paka akatutimua mbio nilizipanda ngaz za kuingia mskitini bila kupenda wenzetu wengine wakatuuliza kuna nn tukawambia kuna paka ametukimbiza hawakutuamini wakatoka wathibitishe tulikua kundi kubwa tu tukamkuta kajisogeza pembeni kidogo napale alipokua mwanzo tukarusha jiwe akatutoa mbio tulikimbia tena kuingia ndan ya msikiti nilichokifanya nikarudi nyumbani nikamwelezea mama bas had leo najiuliza maajabu ya yule paka kutukimbiza
 
Kipindi flani wakati nipo mdogo nilitumwa dukani, ilikua ikifika magharibi hua situmwi dukani kabisa sku hiyo baba akanambia nenda nikawa naogopa mana duka lilikua mbali nikaombewa mtoto wa jirani anisindikize sasa kabla hujafika dukani ukimaliza nyumba tulizokua tunaishi karibu nazo kuna kagiza cha ajabu kweli had dukani na hilo giza ndio lilikua linanitishia, tukavuka vizur mbele kuna barabara inakwenda mashine kulikua na gari inakuja iliwasha taa full bas tukasimama tukijua itakuja huku tulipo ghafla pale mbele ya gar kuja kwetu tukamuona dada kashikilia sjui ni gauni sjui sketi anakimbia kuja upande tuliopo tulikimbia sitakaa nikasahau nikarudi nyumbani dukani sikwenda tena mpaka leo najiuliza yule dada ina mana lile gari hakuliona au mwenye gari hakunuona sipatagi majibu
Sijakuelewa.
 
Dah,,nimetamani kuelewa ila nimetoka kapa
 
Na ramadhani moja hivi wallah sitakaa nikaisahau, zilikua zile ramadhan za mwisho mwisho watu hulala msikitini nikamwambia mama leo naenda lala msikitini nikajibebea daku langu mdogo mdogo baada ya swala ya tarawehe kuisha

Nikampitia mtoto wa bibi yangu tukaongozana kwenda masjid nakumbuka siku hiyo nilikunywa sana juice ikawa naenda haja ndogo vibaya sana, tulipofika msikitini nikamwambia mwenzangu kabla hatujajiweka sawa kulala nisindikize msalani, choo kilikuwepo ndani ya maeneo ya msikiti, tukatoka kuelekea huko

Kabla hatujafika tukakuta paka kati kati ya njia ya kuelekea msalani, nikamwmabia mwenzangu tutapitaje pale tumfukuze paka ndio twende bas tukawa tunamfukuza yule paka lakini hajigusi kabisa hata kusogea hana habari nikamrushia kijiwe ndio kwanza akiangalia kilipomgonga nikamwambia mwenzangu mama yangu alinambia paka hua anafukuzwa mara tatu asipoondoka si paka wa kawaida bas tukamrushia jiwe kwa mara ya mwisho kinyume chake yule paka akatutimua mbio nilizipanda ngaz za kuingia mskitini bila kupenda wenzetu wengine wakatuuliza kuna nn tukawambia kuna paka ametukimbiza hawakutuamini wakatoka wathibitishe tulikua kundi kubwa tu tukamkuta kajisogeza pembeni kidogo napale alipokua mwanzo tukarusha jiwe akatutoa mbio tulikimbia tena kuingia ndan ya msikiti nilichokifanya nikarudi nyumbani nikamwelezea mama bas had leo najiuliza maajabu ya yule paka kutukimbiza
Hakua paka huyo ni mtu
 
Ni hivi wakat tunaelekea dukani kulikua na barabara kama zimekutana njia nne sisi tunatokea kusini kwenda magharibi halaf kulikua na ari yatokea kaskazini imewasha full lights inakuja kusini kati kati ya bara bara tukamuona mdada amekunja sjui gauni sjui n nn anatoka mbio kuja huku tulipo hatukujua katokea wapi na alikua kati kati gari ile iko nyuma na mwendo wake sie kuona vile ikabidi tukimbie kurudi tulikotoka tukishibdwa kujua mdada katokea wapi na kwa nn hakugongwa

Anhaa,itakua aliwahi tu kuvuka barabara. Au alikoswa koswa ila akawahi
 
Nakumbumbuka kipindi naishi kigoma tulikuwa tunaishi compound za mashirika ya kuhudumia wakimbizi.ilikuw miaka ya 2001 kwa kipindi hicho baadhi ya mashirika yalikuwa yanaondoka.
Nilikuw mlevi na mvuta ganja na masigara kwq kipindi hicho ndo ujana ulikuwa umenibamba!
Ndani ya ile kotaz kuna mti mkubwa sana ambao watu wengi walikuwa wanaishi hapo walikuwa wanaomba ukatwe kila siku sbb ya mauzauza yake!wasomi wenyewe walikubali kwamba ule mti hukuwa wa kawaida!
kuna mlinzi mmoja mzee ni mchawi ndo alikuwa mlinzi hapo miaka yote!
Nisiwachoshe!
Siku hiyo narudi mida saa nane usiku kwanza ikaja kaupepo flan cha marashi nikasimama kuiskiliza vzr maana sio ya nchi hii.
Ilikuwa tayar jenereta imezimwa hapo kotaz hivyo giza la hatari.
Nikaanza kuhis nashikwa mapumbu nikipeleka mkono hakuna kitu!
yaani nikishika pumbu naanza kupapaswa kifuani na kukwaruza na vikucha flan amaizing!
Dude likasimama yaani nimevaa nguo lakin nashikwa uchi km sina nguo vile..
Wee nani sijibiwi ila naskia pumzi ya mtu kbs!
Pombe imeruka hapo!
Asee nilipoona sijibiwi nikaona leo kuna mawili kuffirwa au vingine hapa ni kufunguka tuu
Ila we jamaa umenichekesha sana. Mpaka nimekomenti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nilikuwa na x-wife wang kwao alienda kutibiwa maruhani (bibi yake alikuw ni mganga wa kienyeji, kwa iyo tulilala ktk kilinge cha kuagulia wagonjwa/wenye matatizo) sasa kwenye mida ya saa11 alfajiri, nikawa naitaji game nae anazingua.. ikabidi nitumie ku-force aiseee ktk hali isiyokuwa ya kawaida nilisia mtu akisema "shiiiiiiiiiiiii...." ilihali ndani tulikuwa wawili tu, kuanzia hapo nilitoka nje na boxer yng kumfuata bibi mtu, sitosahau cku iyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbumbuka kipindi naishi kigoma tulikuwa tunaishi compound za mashirika ya kuhudumia wakimbizi.ilikuw miaka ya 2001 kwa kipindi hicho baadhi ya mashirika yalikuwa yanaondoka.
Nilikuw mlevi na mvuta ganja na masigara kwq kipindi hicho ndo ujana ulikuwa umenibamba!
Ndani ya ile kotaz kuna mti mkubwa sana ambao watu wengi walikuwa wanaishi hapo walikuwa wanaomba ukatwe kila siku sbb ya mauzauza yake!wasomi wenyewe walikubali kwamba ule mti hukuwa wa kawaida!
kuna mlinzi mmoja mzee ni mchawi ndo alikuwa mlinzi hapo miaka yote!
Nisiwachoshe!
Siku hiyo narudi mida saa nane usiku kwanza ikaja kaupepo flan cha marashi nikasimama kuiskiliza vzr maana sio ya nchi hii.
Ilikuwa tayar jenereta imezimwa hapo kotaz hivyo giza la hatari.
Nikaanza kuhis nashikwa mapumbu nikipeleka mkono hakuna kitu!
yaani nikishika pumbu naanza kupapaswa kifuani na kukwaruza na vikucha flan amaizing!
Dude likasimama yaani nimevaa nguo lakin nashikwa uchi km sina nguo vile..
Wee nani sijibiwi ila naskia pumzi ya mtu kbs!
Pombe imeruka hapo!
Asee nilipoona sijibiwi nikaona leo kuna mawili kuffirwa au vingine hapa ni kufunguka tuu
malizia story kaka![emoji120]
 
Na ramadhani moja hivi wallah sitakaa nikaisahau, zilikua zile ramadhan za mwisho mwisho watu hulala msikitini nikamwambia mama leo naenda lala msikitini nikajibebea daku langu mdogo mdogo baada ya swala ya tarawehe kuisha

Nikampitia mtoto wa bibi yangu tukaongozana kwenda masjid nakumbuka siku hiyo nilikunywa sana juice ikawa naenda haja ndogo vibaya sana, tulipofika msikitini nikamwambia mwenzangu kabla hatujajiweka sawa kulala nisindikize msalani, choo kilikuwepo ndani ya maeneo ya msikiti, tukatoka kuelekea huko

Kabla hatujafika tukakuta paka kati kati ya njia ya kuelekea msalani, nikamwmabia mwenzangu tutapitaje pale tumfukuze paka ndio twende bas tukawa tunamfukuza yule paka lakini hajigusi kabisa hata kusogea hana habari nikamrushia kijiwe ndio kwanza akiangalia kilipomgonga nikamwambia mwenzangu mama yangu alinambia paka hua anafukuzwa mara tatu asipoondoka si paka wa kawaida bas tukamrushia jiwe kwa mara ya mwisho kinyume chake yule paka akatutimua mbio nilizipanda ngaz za kuingia mskitini bila kupenda wenzetu wengine wakatuuliza kuna nn tukawambia kuna paka ametukimbiza hawakutuamini wakatoka wathibitishe tulikua kundi kubwa tu tukamkuta kajisogeza pembeni kidogo napale alipokua mwanzo tukarusha jiwe akatutoa mbio tulikimbia tena kuingia ndan ya msikiti nilichokifanya nikarudi nyumbani nikamwelezea mama bas had leo najiuliza maajabu ya yule paka kutukimbiza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hayo mapaka ndiyo huwa napenda kupiga teke.

Huyo paka bado yupo au kaondoka? Kuna vitu vinajua watu wa kucheza nao.
 
Nliwahi pata mwanamke wa kisukuma yaan nikimpatia hela anagoma kuchukua...
Yaaan alikua ananipa mambo mpka mwisho.
Hilo kwng lilikua la ajabu
 
Back
Top Bottom