OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.
Hizi habari zi za kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtu sijui Yanga na JPM walikufanya nini?View attachment 1545475
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.
Hizi habari zi za kweli?
jibu swali Yanga imekula kichapo?Wewe mtu sijui Yanga na JPM walikufanya nini?
haaa haaa naona unaongea kiupole Utopolo,sema mmefungwa goli ngapi ukumbi ujueYanga wameenda na kikosi cha Vijana kwenye Tamasha lao. Hiko kikosi cha Vijana chini ya miaka 20 ndio kilichofungwa na Timu ya chuo. UDOM FC.
Asilimia kubwa ya wachezaji wa Utopolo FC walikuwa bado hawajawasili mjini Dodoma kufikia jana mchana, hivyo isingewezekana kucheza mechi jioni.
Acha kuwatetea.walicheza wale ma pro wao wa Congo.Yanga wameenda na kikosi cha Vijana kwenye Tamasha lao. Hiko kikosi cha Vijana chini ya miaka 20 ndio kilichofungwa na Timu ya chuo. UDOM FC.
Asilimia kubwa ya wachezaji wa Utopolo FC walikuwa bado hawajawasili mjini Dodoma kufikia jana mchana, hivyo isingewezekana kucheza mechi jioni.