Uzinduzi: Habari za Utopolo kufungwa na wanafunzi wa chuo ni za kweli?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
118236505_326936935155999_764602732632266498_n.jpg

Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.

Hizi habari zi za kweli?
 
Yanga wameenda na kikosi cha Vijana kwenye Tamasha lao. Hiko kikosi cha Vijana chini ya miaka 20 ndio kilichofungwa na Timu ya chuo. UDOM FC.

Asilimia kubwa ya wachezaji wa Utopolo FC walikuwa bado hawajawasili mjini Dodoma kufikia jana mchana, hivyo isingewezekana kucheza mechi jioni.
 
Kumbe ndio maana walienda kujificha huko, ili wakifungwa watu wasijue.
 
Yanga wameenda na kikosi cha Vijana kwenye Tamasha lao. Hiko kikosi cha Vijana chini ya miaka 20 ndio kilichofungwa na Timu ya chuo. UDOM FC.

Asilimia kubwa ya wachezaji wa Utopolo FC walikuwa bado hawajawasili mjini Dodoma kufikia jana mchana, hivyo isingewezekana kucheza mechi jioni.
haaa haaa naona unaongea kiupole Utopolo,sema mmefungwa goli ngapi ukumbi ujue
 
Yaani yanga kabla ya ligi hii haijaanza wameshaanza kupotea,
 
Nyani hata akutane na mtoto so long as ni wa kiume lazime aufyate mkia...

poleni manyani kwa kipigo...
 
Yanga wameenda na kikosi cha Vijana kwenye Tamasha lao. Hiko kikosi cha Vijana chini ya miaka 20 ndio kilichofungwa na Timu ya chuo. UDOM FC.

Asilimia kubwa ya wachezaji wa Utopolo FC walikuwa bado hawajawasili mjini Dodoma kufikia jana mchana, hivyo isingewezekana kucheza mechi jioni.
Acha kuwatetea.walicheza wale ma pro wao wa Congo.
 
Back
Top Bottom