hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Hana pesa, kampeni zimedoda, ndege ya kukodi atawezea wapi ?
Unaleta ushabiki na sio fact, nitajie ndege yenu ya atcl ambayo Inaenda arusha mchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana pesa, kampeni zimedoda, ndege ya kukodi atawezea wapi ?
Kumbuka Lissu amechangia ujenzi wa ndege hiyo kwa kulipa kodi
Unaleta ushabiki na sio fact, nitajie ndege yenu ya atcl ambayo Inaenda arusha mchana
Ndio nmekwambia CUF ilikua na wabunge wengi 2015 usichoelewa ni kipi? Issue ni kwamba CHADEMA walau ina uhakika wa kupata kura minimum elfu 2 mpaka 5 kwa majimbo 214 ya bara kitu ambacho sio ACT wala CUF wanaweza.ACT wana uhakika wa majimbo 18 Pemba wakioteza na moja la bara la Zitto 19. CDM wataambulia bara majimbo 5 tena hapo wamepambana haswaa, Lissu mvuto umeshakufa na pesa ya amsha amsha hana hivyo usitegemee atapata kura nyingi za kuongeza idadi ya viti maalum CDM.
Ndio nmekwambia CUF ilikua na wabunge wengi 2015 usichoelewa ni kipi? Issue ni kwamba CHADEMA walau ina uhakika wa kupata kura minimum elfu 2 mpaka 5 kwa majimbo 214 ya bara kitu ambacho sio ACT wala CUF wanaweza.
Viti maalum ndio vitaamua KUB haijalishi CHADEMA itakua na mbunge mmoja au sifuri maana ndio viliamua KUB 2010 na 2015 so sio kitu kigeni unless umeanza fuatilia siasa mwaka huu.
Si kweli kuwa CUF walikuwa wana wabunge wengi wa kuchaguliwa 2015 zaidi ya CDM, CDM walizidi kwa vyote, ongezea pia kigezo kikubwa cha kutafuti idadi ya viti maalum ni idadi ya majimbo mliyoshinda cha pili ndio idadi ya kura za Rais. Kingine tambua CCM wanataka ACT ndio iwe chama kikuu cha upinzani na itakuwa hivyo.
Nani kakuambia ameenda mchana ?😎
Ametua KIA asubuhi.
Si kweli kuwa CUF walikuwa wana wabunge wengi wa kuchaguliwa 2015 zaidi ya CDM, CDM walizidi kwa vyote, ongezea pia kigezo kikubwa cha kutafuti idadi ya viti maalum ni idadi ya majimbo mliyoshinda cha pili ndio idadi ya kura za Rais. Kingine tambua CCM wanataka ACT ndio iwe chama kikuu cha upinzani na itakuwa hivyo.
Hizi habari nyengine hua mnadanganyana vijiwe gani?
CCM wamewaekea na pingamizi na wengine kuwafuta wagomebea wa ACT 18 Pemba, wa 5 Unguja, na Zaidi ya 50 bara. Hivi kweli CCM wanataka ACT ndio iwe chama kikuu cha upinzani?
Naunga mkono uliyoongea na pia sijaona tofauti kati ya Chadema na ACT kwa upumbavu wao kupiga marufuku TBC chombo cha habari cha nchi kinachofikiwa na watu wengi hii ni akili ya kutu kuozesha chuma bila kukilaZZK na ACT Wazalendo ni wale wale vibaraka koko
Ulisaidia wezi ili ndege zetu zikamatwe na hata ukapinga Tanzania tusipiwe fedha kutoka Banki ya Dunia.
Bora ungetulia ukaomba dua labda Kigoma watakuonea huruma upate angalau ubunge .
Kaa kimya kijana Zitto na tulia kazi ya wakubwa inaendelea.
Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli
Yaani ilimradi tu jamaa lione hatuna furaha😔😔..chama kingine sera yao ni kununua ndege toka kwa mabeberu.
..wakati ndege zilizopo zinatutia hasara kila mwaka.
Sasa kama wewe hutaki ndege acha sisi wapanda ndege tufaidi wewe endelea kupanda mabus au malori. Wewe huwezi jua faida ya ndege kwa kuwa hazikuhusu!..hiyo haiondoi ukweli kwamba atcl inaliingizia taifa hili HASARA.
..hoja siyo nani anapanda ndege hizo, au nani hapandi.
Kuwa chama kikuu cha upinzani inamaanisha kuwazidi wabunge CDM tu, hata kama ACT wakiwa na wabunge 7 na CDM 3 tayari lengo limetimia.