Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Nilifikiri unatuletea habari za mashindano ya mziki maana habari zako nyingi zinahusu kina mamelody TOT kopa Dokii kumbe ni mkutano wa kampeni.kamanda si mashindano . . . . nadhani wanahamasishana . . .
Atuambie siri ya ugonjwa wake, kama Watanzania tunastahili kujua.....
Mbona mheshimiwa Karume anafurahi tu????