Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Kamaliza HOTUBA.
Huenda ameshauriwa aikatize
Naam, sasa tunaondoka hapa Jangwani. Hali sio nzuri kihivyo. JK anaweza akapata matatizo zaidi kwenye Kampeni zake.
Hivi kwenye massive campaigns kama za Obama huyu jamaa angeweza kweli?
massive campaings ndio zipi hizo?
Last campaingn, jk ametembea kwa gari kwenye kampeni zaidi ya km 58000....tena za barabara ambazo sio kama za marekani...hivyo..sidhani kama kuna hoja hapa juu ya yeye kuweza the so called massive campaigns kama za obama
This is a very Big challenge to CCM..inabidi wawe wanakwenda na ambulance kila kwenye kampeni na JK inabidi aachae kufunga vinginevyo mchakato utamshinda na kushindwa kwa kishindo!!
ACHA SPECULATIONS HIZO WEWE.....
Maadili gani hayo kufurahia mtu anapoumwa? Huo ni u saddist......
Mwanadamu yoyote anaweza kuumwa saa yoyote, wakati wowote, mahala popote....ndio maana akaitwa MWANADAMU...
Soo achana na ushabiki wa mambo haya....BE REASONABLE
Hawa TOT nao mtu yuko chini wao wasema kachuku kaweka waaaaa..................., ina maana JK kaweka kura yake chini haikuingia kwenye ballot box.TOT Wanatumbuiza sasa JK amechukua ameweka Waaaa
MASSIVE CAMPAINGS ndio ZIPI HIZO?
Last Campaingn, JK ametembea kwa GARI kwenye kampeni zaidi ya Km 58000....tena za barabara ambazo sio kama Za MAREKANI...hivyo..sidhani kama kuna hoja hapa juu ya yeye kuweza the so called massive campaigns kama ZA OBAMA
Tumuombee mheshimiwa J.K kudondoka ni ajali tu...yeyote ingeweza kumpata popote hata wewe..........mbona wengine wamedondoka wakiwa ****** mbona hamjasema?