Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Mgombea mwenza anadai KUKITUKUZA CHAMA HIKI. Nini maana ya kutukuza wajameni
 
Bilali anadai wamekusanyika Kukitukuza Chama Cha Mapinduzi. Anamshukuru pia JK kwa kuiongoza Nchi vizuri kwa miaka 5 na pia anampongeza JK kwa kuteuliwa kuwa mgombea . . . .
 
Mh. Karume (Easy Man) kasimama . . .

kama kawaida anasema CCM hoyeeee . . . Mapinduzii . . . . huku akinyoosha mkno kivivu vivu


wisiki....wisiki....wisiki....wisiki...
 
Anamshukuru JK kumteua kuwa mgombea mwenza . . . Teee teehh . . . . Anadai ni mwa CCM amefunzwa na amesoma . . .
 
hata kwenye facebook page ya kikwete wamelink na TBC1 nina ona kwenye ustrem wakuu
 
Ghalibu Bilali amemaliza hapa twamsubiria mkwereee
 
Hivi mechi ya Arsenal leo saa ngapi?
 
JK yuko jukwaani sasa huku akisindikizwa na vibwagizo vya TOT kuwa Jogoo ameshawika Kizota na kuwa Kada wa CCM Jk apewe kura za ndiyo
 
Kama kawa Komba anatoa burudani hapa...yule pale ..yule pale mnamuooona....kada wa ccm..apewe kura za ndio...
Binafsi hapa ndo namkubali Komba kwenye shughuli kama hz ..huwa anatoa burudani nzuri sana
 
JK ameanza kuongea . . . Aslaam alykhum . . . Mambo . . . Bwamna asifiwe . . . . naona kama ana "nondo" kaziandaa anasoma pia
 
mkwere kasema Bwana aasifiwe duh sijawahi msikia kutamka kauli hii
 
Hii yote inaonyesha kuwa CCM inaanza kupoteza umaarufu -- kwani bila mabasi (sijui wanakodi?) wanaweza kukosa watu wa kuhudhuria. By the way, I ask-- hivi Chadema nao wana mtindo wa kusomba watu kwa mabasi kwenye mikutano yao, au hujiendea wenyewe tu? Najua CUF pia hutumia Fuso usomba wahudhuriaji.

I doubt kuhusu hoja ya kupoteza umaarufu wakati mpaka sasa ishanyakua majimbo ya Ubunge 13, na nafasi za madiwani za kata 400
 
Andai Nyota Njema huonekana asubuhi . . . CCM itashinda tena kwa kishindo Kikuuu
 
Mtanzania mjanja kuliko wote sasa anaongea......
 
Anashukru kwa kupewa heshima ya kupeperusha bendera ya CCM. anadai hawatawaangusha. Watatumia uwezo wao woote kufanya kampeni
 
Anadai Ilani ni Mkataba na wananchi na wao CCM wameitekeleza kwa mafanikio makubwa sana na kuwa CCM ina watu makini na wanaaminika.
 
Leo alfajiri nilienda MoI kuona mgonjwa . . . nimeona mabango yameanza kuwekwa almost kila mahali . . . . Ari Zaidi . . . Nguvu zaidi . . . Kasi zaidi . . . Chagua CCM, Chagua Kikwete.

JK anadai Wapinzani wamenukuu Sera za CCM na hawana jipya na hakuna Chama kinachokaribia CCM
 
Back
Top Bottom