Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Mgombea mwenza anadai KUKITUKUZA CHAMA HIKI. Nini maana ya kutukuza wajameni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Karume (Easy Man) kasimama . . .
kama kawaida anasema CCM hoyeeee . . . Mapinduzii . . . . huku akinyoosha mkno kivivu vivu
Unavyoona wewe ni bendi gani ya mziki itashinda.
Hii yote inaonyesha kuwa CCM inaanza kupoteza umaarufu -- kwani bila mabasi (sijui wanakodi?) wanaweza kukosa watu wa kuhudhuria. By the way, I ask-- hivi Chadema nao wana mtindo wa kusomba watu kwa mabasi kwenye mikutano yao, au hujiendea wenyewe tu? Najua CUF pia hutumia Fuso usomba wahudhuriaji.
May b kinyume chake!!Mtanzania mjanja kuliko wote sasa anaongea......