Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Unaijua katiba ya Zanzibar!??
Maalimu hakosi kitu at the end of election
 

Wazanzibar tumejiandaa kushangilia ushindi wa Dr. Mwinyi, Maalim Seif siyo chaguo sahihi kwa siasa za sasa za visiwani
 
Mimi ni mjumbe wa ccm Zanzibar, kiukwwli bila kufikicha maneno Dr H Mwinyi wengi hatumtaki na kutoboa kwake kunategemea mbeleko ya ZEC
 
Reactions: PNC
Matukio ya Picha Moja kwa Moja Kutoka Viwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar Kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Mgombea Urais Wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi. Zanzibar imesimama, Zanzibar imeripuka, ,Zanzibar inaenda na Dkt Mwinyi, Kiongozi Mpole, Muadilifu na Mwenye Maono ya mbaki
View attachment 1567434UZ

#Mwinyi2020✅
#TwendeNaMwinyi
#YajayoNineemaTu.

 
Nadhani hata Rudie tena kwenda kuswali
 
Bila Ccm Tanzania hakuna amani, Watanzania tusichague wengine tutapata vita
Wimbo wa wazee miaka 35 na kuendelea ambalo ni wachache kuliko vijana 18 - 35. Ukiilewa hii hesabu utajua kwanini "goli la mkono" haliepukiki ili kushinda
 
Kadhi gani wewe mlawiti watoto wa madrasa tu basi hata masheikh wanaoteseka jela hawakuumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…