Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mchakato ulianza Zanzibar na kufikia kelele Zanzibar?Mchakato wa kumpata mgombea ulianzia Zanzibar, sasa leo hii unasema wanapelekewa kwa minadhiri gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchakato ulianza Zanzibar na kufikia kelele Zanzibar?Mchakato wa kumpata mgombea ulianzia Zanzibar, sasa leo hii unasema wanapelekewa kwa minadhiri gani
Wewe ulisikia wapi unachokisema ? CCM kwa maendeleo yaliyoyafanya Zanzibar hakuna mtu au chama kinaweza kuongoza hayaZanzibar ni mfano mzuri wa CCM wakiachiwa nchi, hakuna muijiza utafanyika na Watarudi tena na ahadi za nchi ya asali.
Unaijua katiba ya Zanzibar!??Ushauri wangu kwa Mwinyi baada ya kuapishwa inabidi amtafutie kazi ya kufanya ndugu Maalimu kwa sababu ndio kipindi chake cha mwisho cha kugombea ,, tunatambua mchango wake kwa nafasi aliyokua nayo kabla lakini sikubaliani na tamaa zake ,,, ukweli ni kwamba maalimu ni zaidi ya Mwananzira .
Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.
Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;
Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole
facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM
Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania
Instagram: @ccmtanzania
#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020
View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.
View attachment 1567322View attachment 1567323
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakiwa njiani kuelekea katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti kushuhudia uzinduzi wa Kampeni
Mbn kama umekua msemaji wa wa zanzibar walio wengi?
Lakini utambue kua vita italetwa na sisiemu wenyeweBila Ccm Tanzania hakuna amani, Watanzania tusichague wengine tutapata vita
Alisikikika Zuzu mmoja toka mitaa ya Lumumba akilia kwa njaa.Bila Ccm Tanzania hakuna amani, Watanzania tusichague wengine tutapata vita
Wimbo wa wazee miaka 35 na kuendelea ambalo ni wachache kuliko vijana 18 - 35. Ukiilewa hii hesabu utajua kwanini "goli la mkono" haliepukiki ili kushindaBila Ccm Tanzania hakuna amani, Watanzania tusichague wengine tutapata vita
Kadhi gani wewe mlawiti watoto wa madrasa tu basi hata masheikh wanaoteseka jela hawakuumiAcheni kujitoa ufahamu, Magufuli kaona apumzike maana timu iliyopo uwanjani Mama Samia na Majaliwa inatosha Sana, chadema nanyi mmetuma poyoyo wenu Salum Mwalimu akahutubie uwanja mtupu!
Huyo hafai kwenye maonesho labda muendelee na Mr Lissu labda washangaaji wataongezeka.
Chama Cha Mapinduzi hakiendeshwi kihuni kuna taratibu kama nimfuatiliaji uliona vikao vingapi vilikaliwa Zanzibar pia bara kumpata mgombea.Mchakato ulianza Zanzibar na kufikia kelele Zanzibar?
Huyu ndie chaguo letuUmekua msemaj wa CCM ss!
Huyu ndie chaguo la wazanzibariBabu mpango mzima,Uhuru,haki na uzalendo halisi