Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Ushauri wangu kwa Mwinyi baada ya kuapishwa inabidi amtafutie kazi ya kufanya ndugu Maalimu kwa sababu ndio kipindi chake cha mwisho cha kugombea ,, tunatambua mchango wake kwa nafasi aliyokua nayo kabla lakini sikubaliani na tamaa zake ,,, ukweli ni kwamba maalimu ni zaidi ya Mwananzira .
Unaijua katiba ya Zanzibar!??
Maalimu hakosi kitu at the end of election
 
Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.

Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;

Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole

facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM

Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania

Instagram: @ccmtanzania

#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020

View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.

View attachment 1567322View attachment 1567323
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakiwa njiani kuelekea katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti kushuhudia uzinduzi wa Kampeni

Wazanzibar tumejiandaa kushangilia ushindi wa Dr. Mwinyi, Maalim Seif siyo chaguo sahihi kwa siasa za sasa za visiwani
 
Mimi ni mjumbe wa ccm Zanzibar, kiukwwli bila kufikicha maneno Dr H Mwinyi wengi hatumtaki na kutoboa kwake kunategemea mbeleko ya ZEC
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Matukio ya Picha Moja kwa Moja Kutoka Viwanja wa Kibandamaiti, Zanzibar Kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Mgombea Urais Wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi. Zanzibar imesimama, Zanzibar imeripuka, ,Zanzibar inaenda na Dkt Mwinyi, Kiongozi Mpole, Muadilifu na Mwenye Maono ya mbaki
View attachment 1567434UZ

#Mwinyi2020✅
#TwendeNaMwinyi
#YajayoNineemaTu.

WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.34.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.35.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.36(1).jpeg
WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.36.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.37.15.jpeg
WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.54.jpg
WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.53.jpg
 
Acheni kujitoa ufahamu, Magufuli kaona apumzike maana timu iliyopo uwanjani Mama Samia na Majaliwa inatosha Sana, chadema nanyi mmetuma poyoyo wenu Salum Mwalimu akahutubie uwanja mtupu!
Huyo hafai kwenye maonesho labda muendelee na Mr Lissu labda washangaaji wataongezeka.
Kadhi gani wewe mlawiti watoto wa madrasa tu basi hata masheikh wanaoteseka jela hawakuumi
 
Back
Top Bottom