Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Ccm ni cha imara watu wanakwenda wenyewe bila kuvutwa wala kusukumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ni cha imara watu wanakwenda wenyewe bila kuvutwa wala kusukumwa
Umetaja maeneneo ya karibu mbona, watu wamesombwa kuanzia kusini mwa Unguja yaani Makunduchi waende wakaongeze idadi. Halafu sasa, wengi wao sio wapiga kura, wanafuata shangwe na kuhunika na watoto wa watu. Mzee wewe kama una gari yako, nenda tawini ukachukua flana za ccm na mafuta full tank unaekewa!Natamani kuoa picha 🙂 🙂 🙂 🙂 vile watu wanasombwa saa hii kutoka bububu, mpakanjia, mchambawima, kibandabamaiti, mwanakwerekwe and the like.😎
this time hamtoboi
Pia waainishe upande you wapo watato na upande wawalioombwa kuongeza idadi uwanja uo ekane umejaa.Kwanini wote wana sare za ccm?
😂😂😂😂😂leo usafiri umekuwa wa shidah sana apa Unguja wapambe wengi wametokea bara na magari yote CCM ime ya kodi
Propaganda, Mwinyi anakubalika na anakwenda kushinda. Msikilize sasa anazungumza kisha tuje tujadili kama hajui kuongea na amekua waziri wa wizara nyetiMWINYI kazaliwa MKURANGA, hajawahi kuishi ZANZIBAR.
Hatuwezi kutawaliwa na Rais kutoka Bara.
hana mvuto, hajui kuongea na hapendwi.
Sisi tupo na Maalim SEif
Endelea kutamani hivo hivoNatamani kuoa picha 🙂 🙂 🙂 🙂 vile watu wanasombwa saa hii kutoka bububu, mpakanjia, mchambawima, kibandabamaiti, mwanakwerekwe and the like.😎
this time hamtoboi
Huyo anaeleta ubaguzi kua eti mwinyi sio mzanzibar endele kujijaza ujinga.Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya pili Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi alikua sio mzanzibar?? sio aliemzaa Dr.Mwinyi acheni siasa za maji taka.Propaganda, Mwinyi anakubalika na anakwenda kushinda. Msikilize sasa anazungumza kisha tuje tujadili kama hajui kuongea na amekua waziri wa wizara nyeti
Mwinyi ni mzanzibari halisi kabisaHuyo anaeleta ubaguzi kua eti mwinyi sio mzanzibar endele kujijaza ujinga.Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya pili Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi alikua sio mzanzibar?? sio aliemzaa Dr.Mwinyi acheni siasa za maji taka.
ExactlyDkt Hussein Ally Mwinyi ana sifa zote za kua Rais Wa Zanzibar.
Tupe nafasi ya kuamua uchaguzi,bado uwanja uwe na usawa.Dkt Hussein Ally Mwinyi ana sifa zote za kua Rais Wa Zanzibar.
Mkijaamka toka kwenye ndoto zenu za mchana Mwinyi ndio atakua anatoa hutoka kama Rais wa Zanzibar, endeleeni na propaganda mwinyi anatoa sera ukoUmetaja maeneneo ya karibu mbona, watu wamesombwa kuanzia kusini mwa Unguja yaani Makunduchi waende wakaongeze idadi. Halafu sasa, wengi wao sio wapiga kura, wanafuata shangwe na kuhunika na watoto wa watu. Mzee wewe kama una gari yako, nenda tawini ukachukua flana za ccm na mafuta full tank unaekewa!
Mwaka huu CCM kifo cha mende Zanzibar!
Tunakwenda na MwinyiPropaganda, Mwinyi anakubalika na anakwenda kushinda. Msikilize sasa anazungumza kisha tuje tujadili kama hajui kuongea na amekua waziri wa wizara nyeti
Zanzibar tumejipanga mwaka huu wataisoma hao Wazandiki Act-Wazalamo 🤣
2020 tunaenda na Dk Mwinyi
Chagua CCMTupe nafasi ya kuamua uchaguzi,bado uwanja uwe na usawa.
Natamani kuoa picha 🙂 🙂 🙂 🙂 vile watu wanasombwa saa hii kutoka bububu, mpakanjia, mchambawima, kibandabamaiti, mwanakwerekwe and the like.😎
this time hamtoboi
Kwa hali hii unasema CCM haijawahi kushinda ZANZIBAR??? ama kweli weweYule mliyemlazimisha 2015 atangaze matokeo kwani bado yupo au? Maana bila tume ccm haijawahi kushinda znz
Chagua CCMKwa hali hii unasema CCM haijawahi kushinda ZANZIBAR??? ama kweli weweView attachment 1567701
Chagua MwinyiChagua CCM
Chagua Dr. Hussein Mwinyi
Chagua Magufuli
#Anakubalika
#MtuWaWatu
#YajayoNineemaTu
#KuraYaNdiyoKwaMwinyi
#KuraYaNdiyoKwaMagufuli
#Mwinyi2020[emoji736]
#TwendeNaMwinyi
@ccm_tanzania
@hpolepole
@SuluhuSamia
@DrHmwinyi
@MagufuliJPView attachment 1567706