Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Kitabu cha Mh. TUNDU lISSU kimezinduliwa huko Kenya . watu maarufu waliokuwepo katika uzinduzi huo ni pamoja na Msalia Mdavadi mwanasiasa marufu huko Kenya tafauti na vitabu vya watu wengine mashuhuri waliozindua vitabu vyao cha Tundu Lissu kimetia fora kwa sababu softcopy pekee zilizoisha nunuliwa ni zaidi ya copy 3000, sijui hardcopy ametoa ngapi na ambazo zitavamiwa tu zitaisha kwa maana ingine kitabu cha Tundu Lissu ni hotcake kama hisa za CRDB kwenye soko la hisa ambazo hata counter huwa hazifiki zinanunuliwa juu kwa juu.
Hii ni kutokana na kitabu hicho kimejaa matukio ikiwa pamoja na kupigwa risasi 16 halafu bado anaishi. Pia wameshauri Mh. Lissu awe kivutio cha utalii nchini kwake waje watalii wafike wamwone mtu aliyepigwa risasi 16 bado akapona.
Alipigwa risasi zaidi ya 16, risasi 16 ndizo zilizotolewa mwilini.---- kweli God is Supreme.