UZINDUZI WA KITABU: Lissu asuswa na kupuuzwa na wanaharakati wenzake



Alipigwa risasi zaidi ya 16, risasi 16 ndizo zilizotolewa mwilini.---- kweli God is Supreme.
 
..wabunge, wanasheria, na majaji mbalimbali wa Kenya walihudhuria uzinduzi wa kitabu.

..mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

..Nani angeweza kuandika kitabu akiwa ktk hali ya ugonjwa,ulemavu, na kunusurika kuuwawa, kama Tundu Lissu?

 
..jioni ya september 7, 2017 nani angeamini kuwa Lissu ataishi na kuja kuandika kitabu?

..sasa hivi tulitakiwa tuwe tunasoma kitabu alichoandika KATILI ambaye watu wake waliamini ataishi milele.
... kuongea kwenyewe akaeleweka ni tatizo ndio aandike kitabu, tena kwa academic language? My foot! Kuandika sentensi moja twitter ikaeleweka ni issue ndio iwe kitabu cha more than 300 pages with hundreds of citations connecting thousands of ideas! My ass!
 
Mwinyi na Mkapa walijaa kitaifa kwa kuwa Raid ndiye alikuwa mgeni rasmi.Hivyo huwezi linganisha na nafasi ya lissu kwa maraisi wastaafu.
Kikubwa ni ujumbe uliondani.
Lissu hata angezindulia chumbani kwake lakini kikitoka nje unajua kaandika nini kitaifa na kimataifa.

Ulichoandika hakishawishi watu wasusie kununua,Wewe ungeungana na mwendazake hata kisizinduliwe.ROHO MBAYA NA UMRI HUO.
 

..kama Jiwe aliandika Thesis ikapita, kweli unaamini TL atashindwa kuandika kitabu wakati kuna wahariri?



.
 
Lisu siku zote hususwa!

Tuseme yeye ni fungu la kukosa
Kususwa na kuawa ndiyo chakula cha wasaliti kote duniani.
Kuna kuna Mwanasiasa, anayewasumbua vichwa Mataga wa Lumumba ni T.LISSU.

Najua mnajua, hamna mwana CCM mwenye akili kumshinda Lissu HAMNAAAAA

Hilo liko wazi na mnajua.

Mfano mzuri, angalieni Bunge lenu ,kuanzia Spika mpaka mbunge, VILAZA VILAZA TUPUUUU
 
Mpuuzi sana wewe. Wanaharakati gani walioalikwa wakapuuza? Unakariri Mambo kwa upeo wako huo wa mita 1.
 
26 June 2021

Siasa Za Kanda: Mahojiano ya ana kwa ana na mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu

 
Akili yake imeleta nini mkuu!

Hata Msukuma anamshinda
 
..kama Jiwe aliandika Thesis ikapita, kweli unaamini TL atashindwa kuandika kitabu wakati kuna wahariri?



.
... thesis iliyompoteza Saa8? Hamna kitu mle usanii tu. Kuna thread moja nilim-challenge Elitwege alikuwa ana-expose ujinga kuhusu kitabu cha Lissu aweke thesis ile humu tuisome aliishia kutukana tu! Tetesi ni kwamba katika historia ya taaluma Tanzania hapajawahi kutokea plagiarism ya kiwango cha kutisha kama kile na haitegemewi kutokea kwa kizazi hiki!
 
Lisu siku zote hususwa!

Tuseme yeye ni fungu la kukosa
Mshamba wenu amekufa Hana kitabu wala karatasi aliyoandika hapa Tanzania...
Nyerere,mwinyi,mkapa, kikwete hawa wote wameacha alama(vitabu)
 
Reactions: Qwy
Mpuuzi tu. Eti lissu awe kivutio cha utalii. Hakika hii inamfaa maana siasa ameshindwa. Inafaa awe kama mnyama tu lidudu fulani. Mtu gani siasa ni uongo tu uzushi tu na chuki. Wale wanamuona lissu ni mwanasiasa au mwanaharakati bora hua nawashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…