mzamifu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2010 Posts 6,400 Reaction score 3,853 Jun 28, 2021 #61 Elitwege said: Kususwa na kuawa ndiyo chakula cha wasaliti kote duniani. Click to expand... Kama vile ni wewe ulikuwa kwenye msafara wa maangamizi yaliyoshindwa.
Elitwege said: Kususwa na kuawa ndiyo chakula cha wasaliti kote duniani. Click to expand... Kama vile ni wewe ulikuwa kwenye msafara wa maangamizi yaliyoshindwa.
mzamifu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2010 Posts 6,400 Reaction score 3,853 Jun 28, 2021 #62 Litabu cha Lissu ni kitaaluma na kitafiti zaidi. Ni s Dhahiri kitasomwa na kurejewa na wanazuoni, wanasheria na pollitical scientists.
Litabu cha Lissu ni kitaaluma na kitafiti zaidi. Ni s Dhahiri kitasomwa na kurejewa na wanazuoni, wanasheria na pollitical scientists.
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Aug 7, 2021 #63 Sawa.
Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,799 Reaction score 14,215 Aug 7, 2021 Thread starter #64 mzamifu said: Litabu cha Lissu ni kitaaluma na kitafiti zaidi. Ni s Dhahiri kitasomwa na kurejewa na wanazuoni, wanasheria na pollitical scientists. Click to expand... Tuendelee kupeana moyo, huku tukishindwa kutatua changamoto za chama zinazotukabili.
mzamifu said: Litabu cha Lissu ni kitaaluma na kitafiti zaidi. Ni s Dhahiri kitasomwa na kurejewa na wanazuoni, wanasheria na pollitical scientists. Click to expand... Tuendelee kupeana moyo, huku tukishindwa kutatua changamoto za chama zinazotukabili.