Uzinduzi wa shamba la miti Chato kesho, Rais Magufuli kuwa mgeni Rasmi

Uzinduzi wa shamba la miti Chato kesho, Rais Magufuli kuwa mgeni Rasmi

Kacovid kameshawasili Chattle! Na katazidi kushamiri kwa sababu ya ziara za voingozi mbalimbali.

Safari hii ukweli ndio utatunusuru, hakuna janjajanja
 
Ni jambo jema, hongera kwa TSF, ni vyema mapori mengi ya asili yapandwe miti ya kisasa ya kibiashara mengi yamebaki vichaka.

Kila unapotambulisha mimea mipya kwenye mazingira yenye uoto wa asili, lazima utambue madhara yake kwenye ikolojia na ardhi ya hilo eneo. Mara nyingi ni bora kutunza uoto wa asili kuliko kuuharibu kisha kuleta mimea ya aina mpya.
 
View attachment 1686608

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la Butengo, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita.

Wananchi maeneo husika pamoja na wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria hafla hii ya kihistoria kwa nchi yetu. Hafla hii inatarajiwa kuanza saa kumi na mbili asubuhi.

SHAMBA la Miti Chato ni miongoni mwa mashamba ya Serikali yaliyoanzishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika mwaka wa fedha 2017/18.

JANUARI 12, 2021 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro alitangaza Chato kuwa Kitovu cha uhifadhi na utalii katika Kanda ya Ziwa alipokuwa katika ziara ya kikazi shambani hapo.

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2017/2018(miaka minne iliyopita) shamba hili limepandwa jumla ya miche 7,449,255 kwenye hekta 2,682(sawa na ekari 6,705).

View attachment 1686589
Naona likizo inatumiwa vizuri na washika dau.
 
Chato the comming capital city of CCM...stay turned!!
 
Hapa kikwete alikuwa analaumiwa kufungua shule msoga. Watanzania hawaishi malalamiko
Umeulizwa? Nani kakulalamikia au ni unafiki wako tu?
 
Back
Top Bottom