Kwa mwendo huo wa miradi kweli Kigamboni itabadilika, huu ndio wakati muafaka wa kutafuta viwanja huko kabla havijapanda bei hiyo miradi hasa huo wa barabara utapokamilika.
Roving Journalist, watu wanazindua tekinoljia,mitambo ya kisasa,ya kitekinolojia ,yenye kuboresha maisha na kuleta kipato zaidi kwa nchi,sisi tunafanya huu upuuzi,tunaongeza wigo wa kulipa mishahara tu,matumizi ya kawaida.
Syo 15 mkuu ni 21b ila erio akaipandisha hadi 36b,kama alivyoongea mleta uzi ule wa nyuma hata malengo alishusha ili apate sifa toka 1b hadi 760m, ilowekwa na prof. .
Huyu ni msaniiiii, watezi njooni mtoe hoja kumtetea
Mkandarasi wa barabara Kigamboni Dar es Salaam arudi saiti baada ya kauli ya Mh. Rais . Pamoja na kurudi saiti / site mkandarasi mjenzi wa barabara hiyo aelezea changamoto kati yao na NSSF
Wezake wanazika Nairobi Kumbe yeye alikua anafanya kazi ambayo ingeweza kusubiri
Hakuna Jambo linatokea Seating President wa Kenya au Uganda asije .. wenzake wanamchukuliaje
Nkuruzinza inaeleweka anaogopa kupinduliwa .... maaana hata mara ya mwisho alirudishwa Ngozi na Makamando wa TPDF