Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

Kwa mwendo huo wa miradi kweli Kigamboni itabadilika, huu ndio wakati muafaka wa kutafuta viwanja huko kabla havijapanda bei hiyo miradi hasa huo wa barabara utapokamilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais hapa lazma tukubali amefanya Jambo la busara na la kijasiri.

Huez kuchana kitabu kitukufu halaf uachwe tu .

Tunapaswa kuheshimu vitabu na sehemu za watu za kuabudia.
 
Nimetafakari sana kuhusu pongezi zako, angekuwa ni shemeji yako anayekulipia ada amefukuzwa sijui ungepongeza.
 
Syo 15 mkuu ni 21b ila erio akaipandisha hadi 36b,kama alivyoongea mleta uzi ule wa nyuma hata malengo alishusha ili apate sifa toka 1b hadi 760m, ilowekwa na prof. .
Huyu ni msaniiiii, watezi njooni mtoe hoja kumtetea
Ndo maana watu wakisema Erio mpigaji tu watu wanatetea ujinga,sasa kama ilikua 15b yeye akaongeza hadi 36b si upigaji huo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
February 17, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Mkandarasi wa barabara Kigamboni Dar es Salaam arudi saiti baada ya kauli ya Mh. Rais . Pamoja na kurudi saiti / site mkandarasi mjenzi wa barabara hiyo aelezea changamoto kati yao na NSSF



Source: Global TV online
 
Wezake wanazika Nairobi Kumbe yeye alikua anafanya kazi ambayo ingeweza kusubiri
Hakuna Jambo linatokea Seating President wa Kenya au Uganda asije .. wenzake wanamchukuliaje
Nkuruzinza inaeleweka anaogopa kupinduliwa .... maaana hata mara ya mwisho alirudishwa Ngozi na Makamando wa TPDF
 
Back
Top Bottom