MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
-
- #181
Nipo bi mkubwa,TV hiyo imetua mjini hahhaa haaHahahaaaaaaaa Wallah nimecheka kama mwendawazimu.
Ni jana tu nilikuwa nalalamika nimemiss thread za MSAGA SUMU juu ya Le Mutuz.
Asante 🙂
Ahha haah Lemutuz studio itakuwa full mabebezz super mtindizzMSAGA SUMU Mambo yakienda yakanyoka na we atakuajiri
Lemutuz ndo maana mambebezz wanampenda sana,ebu angalia hiyo Gucci pensi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nisindikize post kwa picha.
Maisha hayana formula lemutuz anaingia kwny orodha ya Watz wachache wenyw Vyombo vya habari ahhaaLife starts at 60. Jamaa katusua uzeeni.
aisee naona some hi-tech gadget hapo top of the line salute Mkuu,VP hautafuti vijana waliomaliza vyuo vikuu tutume CV Lembabazz,am humble u know?
- Kazi ya kujenga Studio inaendelea nategemea in the next 3 Weeks tutaanza majaribio ya kuruka hewani so stay tuned!
le Mutuz
Mbona sijaona kipya hapo? Story imeanza ilikuwa tamu lakini imeisha mbaya. Nilidhani angalau hata hivyo ving'amuzi vitauzwa kwa bei chee tofauti na vya kampuni hizi zingine.William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.
Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa 8 za usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize na kupoteza focus.
Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.
Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
HAHAHAHAHA WEWE MGENI MJI HUU?Hicho kisimbuzi atakigawa bure nini nitoe hela kununua dude lenye chanel moja?
HahHahaaas mburulazzzzUle ni munyororo
Kavaa msuli sio bukta hiyo mzee wa kustaafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nisindikize post kwa picha.
Hiyo sio pensi ni deraaaNimependa pensi
Nimependa pensi
hahahaha eti GucciLemutuz ndo maana mambebezz wanampenda sana,ebu angalia hiyo Gucci pensi
atanunua yeye akaangalie na tambi lake lileVing'amuzi.alaf chanel moja tu.hyo,itakuwa ajabu ya 8 ya dunia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we mchokoziiHiyo sio pensi ni deraaa
Kuna mtu kasema hilo ni deraHilo ni boxer...analivaa hata akiendaga Ikulu enzi zile za kula maandazi ya bure kwa JK.
Kuna mtu kasema hilo ni dera
Halafu ujue nimekuuliza kama kazi zinapatikana umenichunia hujajibu. Nipe kazi banaaa hata ya kukusevia chai [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Le Mutuz Nation
View on Instagram "KAAZI JUU YA KAAZI ....ni Baampa to Baampa ...ujenzi wa our new Studio for LE MUTUZ ONLINE TV & STREAMING LIVE ...unaendelea hapa at Downtown Posta Mpya Tancot House ....stay tuned tutaanza kuwa hewani soon ...tunataka kuleta Mabadiliko na Ubunifu kwenye Industry ...I am Humbled U know!" - le Mutuz Nation — at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
- guys kazi inaendelea na ujenzi so stay tuned
le Mutuz
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook