Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nisindikize post kwa picha.
8b44433ffdee254f4bf929107705bd1f.jpg
Lemutuz ndo maana mambebezz wanampenda sana,ebu angalia hiyo Gucci pensi
 
William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.

Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa 8 za usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize na kupoteza focus.

Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.

Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Mbona sijaona kipya hapo? Story imeanza ilikuwa tamu lakini imeisha mbaya. Nilidhani angalau hata hivyo ving'amuzi vitauzwa kwa bei chee tofauti na vya kampuni hizi zingine.
 
Kuna mtu kasema hilo ni dera
19113802_770360829812984_8157086560977285433_n.jpg

Le Mutuz Nation
View on Instagram "KAAZI JUU YA KAAZI ....ni Baampa to Baampa ...ujenzi wa our new Studio for LE MUTUZ ONLINE TV & STREAMING LIVE ...unaendelea hapa at Downtown Posta Mpya Tancot House ....stay tuned tutaanza kuwa hewani soon ...tunataka kuleta Mabadiliko na Ubunifu kwenye Industry ...I am Humbled U know!" - le Mutuz Nation — at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
19224898_770223543160046_8098286489849406587_n.jpg

0

0

- guys kazi inaendelea na ujenzi so stay tuned

le Mutuz

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
 
Halafu ujue nimekuuliza kama kazi zinapatikana umenichunia hujajibu. Nipe kazi banaaa hata ya kukusevia chai [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.
.
Hongera sana kwa kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom