FREE LUNCH
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 495
- 334
Kwani kuna promotion ya wasio na vyeti huko ?Dunia ya rombo labda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aache sasa kuvaa mashati makubwa lama parashuti.
Yupo kama lodilofa
Hilo jitu ni kinikia lililotukuka kule kwetu wanaliita entabani.William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.
Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa 8 za usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize na kupoteza focus.
Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.
Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Ahha haa I'm humbled you knoAnakuja kukualika
Dinner leo Double Tree
Msaga Sumu-Jamii Forum Le Big Super Fans-Dunia Itazizima!
Ameitikisa Tasnia ya habari! Massa mawili baada ya kutangaza ujio wake wakurugenzi wa TV Bongo wamekaa vikao masaa nane wakipanga namna ya kumdhibiti! π π π πHahahaaaaaaaa Wallah nimecheka kama mwendawazimu.
Ni jana tu nilikuwa nalalamika nimemiss thread za MSAGA SUMU juu ya Le Mutuz.
Asante π
ametembea sana duniani kushangaa lakini akili yake ni ndogo kuliko mtu aliyekulia shinyanga maisha yake yote. yeye akiwa kweney tiviiii huwa anajidai ati kwasababu ameishi sana nje ana uelewa mkubwa sana..hahahaha.Ha ha ha lemutuz anavyopenda sifa sasa !!!! MTU aliyetembea huko duniani.!
Wapi ile cheni
Rombo kumekukosea nini hommie?Dunia ya rombo labda
Le mutuz ni kivutio cha taifa walahi!!! Namuonaga kama tapeli Fulani hivi.ametembea sana duniani kushangaa lakini akili yake ni ndogo kuliko mtu aliyekulia shinyanga maisha yake yote. yeye akiwa kweney tiviiii huwa anajidai ati kwasababu ameishi sana nje ana uelewa mkubwa sana..hahahaha.
sio tapeli, ni mtu anayejifanya ana uelewa kumbe zoro brain kabisa. ameishi nje zaidi ya 30 years lakini hajabadilika hata nukta. mwili mkubwa, tumbo kubwa, miaka zaidi ya 55 lakini dah, hadi huruma.Le mutuz ni kivutio cha taifa walahi!!! Namuonaga kama tapeli Fulani hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ameitikisa Tasnia ya habari! Massa mawili baada ya kutangaza ujio wake wakurugenzi wa TV Bongo wamekaa vikao masaa nane wakipanga namna ya kumdhibiti! π π π π
usiku wa jana nimekuota NAKUTAFUNA vilivyo...Buhahahahaha