Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Sure..Wasiomuelewa sometimes mapovu uwa yanawatoka..Mi nabaki nacheka tuNa ni wachache sana tunaomuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure..Wasiomuelewa sometimes mapovu uwa yanawatoka..Mi nabaki nacheka tuNa ni wachache sana tunaomuelewa
Mzigua tutakuajiri uwe presenter...Kwa huo mshape lazima tusepe na kijijiWonders shall never end
mi baby wake ujue hawezi kujirisk kuniweka kwenye kideo anajua competition atakayoipata..Mzigua tutakuajiri uwe presenter...Kwa huo mshape lazima tusepe na kijiji
Ushakuwa baby wake tena!!!!!We mtoto sikuwezimi baby wake ujue hawezi kujirisk kuniweka kwenye kideo anajua competition atakayoipata..
Nilishasema humu vilaza ni wengi sana. Maana kama huyu ameona hii ni habari ya pekee kwake, maana ni sawa na kusema jana home walichinja mbuzi mkubwa so what?
Ha ha ha ha nliivoona title nikawaza msaga sumu sijamuona kitambo kumbe ndo yupo mtamboni lol
Humjui msaga sumu utakua mgeni hapa, chukua siti ukae ubaki kuwa mtazamajiNilishasema humu vilaza ni wengi sana. Maana kama huyu ameona hii ni habari ya pekee kwake, maana ni sawa na kusema jana home walichinja mbuzi mkubwa so what?
Utakua ni mgeni hapa chukua siti ukae ubaki kuwa mtazamajiUmelipwa sh. Ngapi kuandika huu upuuzi
Acha hizi.Kateleza kidogo jamani.Huwezi kukausha??gani
MSAGA SUMU Mambo yakienda yakanyoka na we atakuajiri