tupige hesabu mwaka 2006 alipotwaa umiss let say alikuwa na 18 twende sasa woooote 2007 miaka 19 2008 miaka 20ni binti mdogo wa miaka 22 na ameweka historia ya kumwaga hela jukwaani nyingi kiasi kile, sijui itavunjwa lini?
tupige hesabu mwaka 2006 alipotwaa umiss let say alikuwa na 18 twende sasa woooote 2007 miaka 19 2008 miaka 20
2009 miaka 21 2010 miaka 22 2011 miaka 23 2012 miaka 24 20013 miaka 25 2014 miaka 26....hapo hatujaona cheti chake RITA mana kuna ya akina lulu walidanganya.
so ni vizuri mtu unaposema kitu uwe angalau na fact kidogo.....na kama sivyo ina mana alishiriki umiss akiwa under 18?
Bora wewe yaan Wema atakua hata 34
inayotambulika kitaifa ni 22, hayo mengine ni ya kwenu
Bora wewe yaan Wema atakua hata 34
Search kombalucy
Unataka kuangalia picha za muke ya muzungu???
Angemrushia hizo pesa bibi yake kule singida angekua kafanya la maana sana teh teh
Singida mbali kote huko , angetuma kwa Mamaye Sinza tu hapo ,Nimenyoosha Mikono juu kwa huyu Bibi :dizzy:
Hahaha, umezibuka.
Nimesema hivyo kwa sababu kuna movie production moja Wema alikuwa anatakiwa akasema bila ya kuhakikishiwa milioni fulani hawezi hata kuzungumza.
Nikaona labda ana kidau fulani.
Atakua anazisimuliaa kama mr.nice
ina maana kazaliwa 1992...........SALALEEEEEEEEEEEEE
inayotambulika kitaifa ni 22, hayo mengine ni ya kwenu
Madam mzee yule huo umri ametaja ni uongo,Diamond pale anabemendwa tu.
Siku K ikiisha soko duh,,kipindi Diamond kageuka Mr nice wa leo. Atakuwa anaziona hizi clip u-tube
wanakwambia tembo hata akonde vipi hawezi kuwa kama sungura.
Bora wewe yaan Wema atakua hata 34