Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
tupige hesabu mwaka 2006 alipotwaa umiss let say alikuwa na 18 twende sasa woooote 2007 miaka 19 2008 miaka 20ni binti mdogo wa miaka 22 na ameweka historia ya kumwaga hela jukwaani nyingi kiasi kile, sijui itavunjwa lini?
2009 miaka 21 2010 miaka 22 2011 miaka 23 2012 miaka 24 20013 miaka 25 2014 miaka 26....hapo hatujaona cheti chake RITA mana kuna ya akina lulu walidanganya.
so ni vizuri mtu unaposema kitu uwe angalau na fact kidogo.....na kama sivyo ina mana alishiriki umiss akiwa under 18?