Uzinduzi yamoto band: Wema aacha historia na kuwa staa wa kwanza kumwaga mihela dar live

Uzinduzi yamoto band: Wema aacha historia na kuwa staa wa kwanza kumwaga mihela dar live

ni binti mdogo wa miaka 22 na ameweka historia ya kumwaga hela jukwaani nyingi kiasi kile, sijui itavunjwa lini?
tupige hesabu mwaka 2006 alipotwaa umiss let say alikuwa na 18 twende sasa woooote 2007 miaka 19 2008 miaka 20
2009 miaka 21 2010 miaka 22 2011 miaka 23 2012 miaka 24 20013 miaka 25 2014 miaka 26....hapo hatujaona cheti chake RITA mana kuna ya akina lulu walidanganya.
so ni vizuri mtu unaposema kitu uwe angalau na fact kidogo.....na kama sivyo ina mana alishiriki umiss akiwa under 18?
 
Bora wewe yaan Wema atakua hata 34
 
sijawahi kuona limbukeni km wema,ni mpumbavu wa mwisho kabisa nchi hii.
 
Hahaha, umezibuka.

Nimesema hivyo kwa sababu kuna movie production moja Wema alikuwa anatakiwa akasema bila ya kuhakikishiwa milioni fulani hawezi hata kuzungumza.

Nikaona labda ana kidau fulani.

Nimezuka haswaaa hahahaaa.Kidau kitoke wapi mashauzi tu.Kipindi hicho alikuwa ana kiburi cha hela za CK.Saa hizi hawezi kuthubutu kukataa dau lolote.
 
Siku K ikiisha soko duh,,kipindi Diamond kageuka Mr nice wa leo. Atakuwa anaziona hizi clip u-tube
 
si ndo hapo chacha shoga angu DINA.
HAYA ndo yaleyale ya jide kila mwaka aa 30 Wakati anakimbilia 50 (leo nitachambwajwe sasa haaa!haaaa!)

Akikusikia warumi ooohoo ye ni jide tu na Davido,wewe ni wema na Daimond
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom