Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.
Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi, uzinzi haujapata tiba katika nchi yetu.
Mungu alileta ukimwi ili watu wapate hofu lakini binadamu wakabuni kondomu 'mchezo unaendelea.
Nasema Tena uzinzi ni tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu sijajua ninani atakuja kuleta SULUHISHO maana hata wahubiri nao wameshindwa kujinasua na hili pepo la uzinzi hali ni mbaya sana mungu atusaidie.
Nahisi Kuna mapigo makubwa Afrika na Dunia kwa ujumla itayapitia kwa sababu ya uzinzi mungu atusaidie afrika mungu aisaidie Tanzania.