God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Jina lako linasadifu na ulichokiandika we khurafibora nifilisike.
Kuna faida gani ya kuwa na pesa alafu huna mademu?
Waarab wangekua maskini kuliko ww😂Hasa kama ukitafuna ile ndogo ile njia ya upepo...kusukuma kinyesi.....hapa lazima ufe maskini.
nao ndio waazilishiWaarab wangekua maskini kuliko ww😂
🤣 Fifty Cent, Tiger Woods, Bill ClintonUzinzi unaua karama yuko wapi Ngasa, Ferooz, n.k
weka mifano hapaKuna waliotoboa ilhali Ni wazinzi wa kutupwa. Mfano mzuri unaujua wewe.
utoto raha sanabora nifilisike.
Kuna faida gani ya kuwa na pesa alafu huna mademu?