Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Naunga mkono hoja mkuu,kusema ukweli mleta mada ana hoja na asikilizwe kipindi najihusisha na ngono kupita kiasi kiukweli nilipoteza nuru,akili ilikuwa haitulii,wasiwasi sana na pesa zangu zilikuwa hazieleweki zinaenda wapi nikakaa nikajiuliza haya mambo mpaka lini? Kwasasa nimeacha na kumrudia muumba wangu kisawasawa japo vishawishi ni vingi na namshukuru mungu naendelea kupambana kusema za ukweli ngono ni adui ya maendeleo tuipige vita haswa.
 
naunga mkono hoja.
 

Attachments

  • Screenshot_20240711-173651.jpg
    Screenshot_20240711-173651.jpg
    299.1 KB · Views: 4
  • 2019_10_23_20_54_IMG_0835.jpg
    2019_10_23_20_54_IMG_0835.jpg
    201.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom