Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Hii ni kwa utafiti, standards, sheria, imani au hisia tu za mwanzisha thread? Una data za kuonyesha au umeona wanaokuzunguka tu na umelink vipi kufeli kwao ni kwa sababu ya uzinzi na sio kitu kingine? Na umepimaje kwamba wao ni wazinzi na pia definition ya uzinzi ni nini uliyotumia kuwapima? Hebu weka data tujifunze kiongozi
 
Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini.

Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS.

Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale.

Malaya hana uwezo kukumbusha kujenga au kununua tofali au kufungua kampuni.
Hii kitu imewakost watu wengi sana imiwemo wazee wetu.

Ukiona Mtu anafanikiwa ktk maswala mbali mbali Uchumi, siasa na mambo mengine siri ya kwanza ni Kuachana na uzinzi.

Unatumia pesa na muda mwingi.

Kinachompa matumaini mzinzi ni ile kuwa anaingiza pesa za kutosha.

Hatimaye unamkuta mtu pamoja na kipato kikubwa alichonacho lakini hakiendani achievement zake.
 
Kuna waliotoboa ilhali Ni wazinzi wa kutupwa. Mfano mzuri unaujua wewe.
Nani? Diamond mwenyewe ameuanza baada ya kushika pesa nyingi.

Mwanzo amehustle kwanza, nyimbo zake zote ni za malalamiko jinsi mademu walivyombagua akiwa hana hela.

Hata sasa skendo za mademu hana tena ameacha kabisa.

Mafanikio na Uzinzi havipatani utabaki na pesa za mafuta ya gari tu na mlo.
 
Back
Top Bottom