Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Kufilisika ni ujinga wa mtu hakuna uhusiano wowote na uzinzi.
Ukiwa mzinzi , utaandelea kuwa masikini.

Uzinzi haupatani na HELA
Uzinzi unaua FOCUS


Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana Ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale.

Malaya hana uwezo kukumbusha kujenga au kununua tofali au kufungua kampuni.
 
Back
Top Bottom