Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Tuweke utani pembeni uzinzi si jambo nzuri, hata mzinzi mwenyewe sidhani kama anaridhia/penda wanae, baba ,mama, dada ......... zake wawe wazinzi.

Kwa mtu anayejitambua anajua kabisa kwamba anakosea sema ndio vile kuacha inakuwa ngumu.
Kuwacha ni rahisi Sana.
Mfanye mkeo apendeze, ale vizuri asiwe na malalamishi.
Hizo pesa unazo wapa Malaya au mchepuko mpe mkeo. Utaona mabadiliko.
 
Ila haya maisha hayako fair kuna watu nawafahamu hawana kabisaa Mambo ha you(very faithful) lkn ndo wanaongoza kucheatiwa, na maisha Yao ni magumu vilevile!
 
Wamekusikiaa, ila ngoja wajeee. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini.

Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS.

Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale.

Malaya hana uwezo kukumbusha kujenga au kununua tofali au kufungua kampuni.
Huu uzi auone mme wangu jaman, mbaba ana ulimbukeni wa kyuma yule anatuletea gundu tu kwenye familia, kakulia kijijini akafika mjini anashobokea mbunye anahisi km zitsisha
 
Back
Top Bottom